kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Jugado

    Natafuta kiwanja Kibaha maili moja

    Kisiwe mbali na lami, yaani isizidi 3km. Ukubwa usipungue 30×35 au around hapo. Kiwe tambarare. Pesa ipo kwenye mfuko wa shati. (Kama bei itakuwa reasonable).
  2. haszu

    Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

    Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
  3. BigTall

    KERO Barabara za Jimbo la Kibaha Mjini (Pwani) hali ni mbaya, mvua ikinyesha Wananchi wanateseka

    Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
  4. sanalii

    Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  5. uberimae fidei

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kibaha msangani juhudi. Kipo karibia na stend ya bajaji Km 5 KUtoka morogoro road Ukubwa mita 20 kwa 20 Milioni tatu na nusu. Barabara nzuri ya lami. Umeme na maji vimefika.
  6. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

    Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
  7. T

    DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  8. L

    Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
  9. maroon7

    Mwaka wa 3 Barabara Kimara - Kibaha hata street lights tu zimewashinda

    Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara...
  10. K

    Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

    Nauza Heka 3 zipo Kibaha Zina hati zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana
  11. N

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
  12. D

    Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Habarini wapendwa. Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
  13. LIKUD

    Nauliza hivi shule ya Sunshine Secondary kibaha wanapokea watoto wa kidato cha nne?

    I mean kumhamisha mwanafunzi kutoka shule nyingine kumpeleka Sunshine Sec Kibaha ahamie kidato cha nne dirisha la January 2024? Au hawapokeagi wanafunzi kuhamia kidato cha nne? Vipi kuhusu ufaulu wao? Ada zao ni how much? Maadili?
  14. JimmyKB

    DOKEZO Upigaji mradi wa maji Miwale Pangani Kibaha mkoa wa Pwani

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita kulifanyika mradi wa maji uliogharimu milioni miatano lakini mradi huo ulikufa pasipo wananchi wa...
  15. Ndetanyau

    Fedha za kujikimu kwa watumishi wapya Kibaha Halmashauri ya Kibaha

    Licha ya Waziri kuagiza fedha za kujikimu zilipwe kwa watumishi wapya kada ya ualimu na afya ya mwezi June 2023, bado hali ni tofauti kwa sisi watumishi wapya wa Kibaha DC. Nauliza, Je ni kupuuzia agizo la Waziri au wanataka wazile hizo fedha na familia zao maana kiufupi wanatuweka kwenye...
  16. Jozedan56009

    Plot4Sale Nyumba Inauzwa Kibaha Muheza

    Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo ) 3 kilometers kutoka Mailoja. Eneo 18*25 Vyumba vitatu vya kulala 1 master bedroom Sebule na dinning room Public toilet Jiko na stoo yake Fremu ya duka mbele Piga : 0678650509
  17. BARD AI

    Pwani: Mkazi wa Kibaha aomba kazi ya Kunyonga Watu

    Washiriki wa Mkutano wa haki jinai Kibaha, mkoani Pwani, wamejikuta wanabaki hoi baada ya mmoja wa wakazi mkoani humo, Ramadhani Mauridi, kueleza kuwa anatamani siku moja angeajiriwa na Serikali ili akafanye kazi ya kunyonga watu waliohukumiwa kutumikia adhabu hiyo. Amesema kuwa amefikia hatua...
  18. LIKUD

    Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023 @AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya...
  19. Q

    Dawasco Kibaha Maili Moja, maji hakuna mwezi. Wanasema mpigie Aweso

    Tuna mwezi wakazi wa Mwanarugali hatujapata maji, hakuna majibu mazuri kutoka DAWASCO, wanasema tumpigoe aweso. Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
Back
Top Bottom