Shamba linauzwa, Kibaha Mlandizi Miswe ukubwa eka 55.
Chanzo cha maji huakika, kilimo kipindi chote kwa mwaka,maji ya mto ruvu na mto msumbiji.
Linafaa kwa kilimo cha mazao mengi, ulimaji wa mboga,na ufugaji Samaki.udongo mweusi,usioitaji mbolea.
Njia ya kufika kupitia bagamoyo au mlandizi...