NILIKUWAPO ZANZIBAR KIBANDA MAITI, JAWS NA KIJIWENI MALINDI MIAKA 30 ILIYOPITA
Kitabu hiki, "Cade" cha James Hadley Chase nimekisoma miaka mingi sana iliyopita niko sekondari umri wangu kiasi miaka15 hivi.
Sasa mimi ni mzee lakini nakumbuka ufunguzi wa mwandishi alipoanza kueleza hadithi ya...
Wengi hawajui kama Zanzibara hasa Unguja iliwahi kuwa na usafiri wa reli iliyojengwa mwaka 1905. Sauti na mlio wa treni hiyo ilipokuwa ikipita ikazaa jina bububu.
Barabara katika eneo la Bububu.
Hivyo bububu ni tanakali sauti yaani jina linalotokana na sauti ya kitu. Kama ilivyo sauti nyau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.