Wakuu, habari.
Ninaomba kufikisha kilio cha wananchi wa maeneo ya Kitunda, Kibeberu, Magole (Mzinga/Kivule) kuhusu changamoto kubwa ya ukosefu wa viwanja vya michezo vya jamii, hususan kwa vijana wanaopenda mpira wa miguu.
Mimi ni mkazi wa eneo hilo. Changamoto hii imekuwa ikiathiri sana...