Akimbia nchi nzuri ya Kiislamu kwenda ishi nchi ya Kibeberu na kuamua kuolewa na kaka yake

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir.

Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka yake. Na hapo atakaa kuwasema makafir walivyo wabaya.

Screenshot_2025-12-14-07-55-18-949_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2025-12-14-07-55-30-454_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2025-12-14-07-55-25-396_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2025-12-14-07-53-39-580_com.instagram.android~2.jpg
 
Kama ni hiko cheti basi Hakuna uthibitisho wa kwamba hao ni ndugu

Muda mwingine elimu ndo shida inafanya watu walete propaganda. Mfano sharia ya kiislamu inaruhusu watu waliozaliwa mama mkubwa na mama mdogo kuoana, vivyo hivyo mtoto wa mjomba na shangazi, mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo, nk

Sasa ukija kwenye mila zetu na mazoea ukisikia hiyo kitu utaona watu wanavyoshika vichwa na kuvurumisha maneno

Ombi
Mleta mada hebu tuambie huo undugu wa hao waliooana ukoje ili tujiridhishe na hii habari
 
Uktaka kugundua baadhi ya wavaa makobaz ni takataka si wa kupoteza muda kuskiliza khs dini na misimamo yao, wanawatukana na kuwakejeri sn wazungu tn hawawapendi kbs lakn ndo wa kwanza kukmbilia marekani, ulaya, canada ambako ndko wanadai kuna makafiri na hakufai ila hawatak kwenda iran, afghanstan, turkey, iraq, saudi arabia, yemen kuliko na sharia za dini yao kusko na makafiri au bs waende china au urusi kwa putin mu orthodox maana huwa wanasfia sn hz nchi ajabu hawathubutu kujazana uko.
 
Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir.

Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka yake. Na hapo atakaa kuwasema makafir walivyo wabaya.

View attachment 3515350View attachment 3515351View attachment 3515352View attachment 3515353
Hawa mbwiga unafiki wao huwa hauelezeki, ni unafiki wa kiwango kinachoshangaza mno. Ukiwauliza Wasomali au Waafghanistan kwanini huwa wanang'ang'ania kuishi Western Europe au North America au Australia badala ya Iran au Saudia Arabia ambako kuna maadili, mila, kanuni, desturi na sheria za Kiislamu huwa wanakosa majibu.
 
Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir.

Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka yake. Na hapo atakaa kuwasema makafir walivyo wabaya.

View attachment 3515350View attachment 3515351View attachment 3515352View attachment 3515353
Mbona cheti cha ndoa ni cha mwaka '82, hii stori inahusiana na nini au hao wahusika ni wa taifa gani kiasili?

Maana kuna nchi zingine za mashriki ya kati watu kuoana ndugu ni utamaduni wao.
 
Wanasema kuuliza si Ujinga. Ila hii haikupi uhalali wa kuuliza maswali ya kijinga.

Mbona makasiriko ndugu swali la kijinga vipi wakati wewe mwenyewe ndiye uliyeweka cheti cha kuthibitisha heading yako?

Kiufupi tu ni kwamba hii habari ilishaletwa humu tangu mwezi wa pili (Februari) na bwana Cohen aliweka vizuri kabisa lengo la ndoa hiyo lilikuwa ni nini na wadau wakachangia sana wakisema mambo hayo yapo sana huko magharibi

Sasa wewe umeileta habari kwa namna ya kukashifu na kuwakejeli watu kwahiyo huna budi kuvumilia comments
 
Attachments

  • 20250211_131035.jpg
    20250211_131035.jpg
    265.1 KB · Views: 30
Uktaka kugundua baadhi ya wavaa makobaz ni takataka si wa kupoteza muda kuskiliza khs dini na misimamo yao, wanawatukana na kuwakejeri sn wazungu tn hawawapendi kbs lakn ndo wa kwanza kukmbilia marekani, ulaya, canada ambako ndko wanadai kuna makafiri na hakufai ila hawatak kwenda iran, afghanstan, turkey, iraq, saudi arabia, yemen kuliko na sharia za dini yao kusko na makafiri au bs waende china au urusi kwa putin mu orthodox maana huwa wanasfia sn hz nchi ajabu hawathubutu kujazana uko.
Binadamu huwa ni kiumbe mnafiki sana ila angalau wazungu hawana huo unafiki wanaishi uhalisia wao na ndio maana Mungu kawabariki.
 
Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir.

Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka yake. Na hapo atakaa kuwasema makafir walivyo wabaya.

View attachment 3515350View attachment 3515351View attachment 3515352View attachment 3515353
Anawachachafya kuhusu intention ya Trump kutaka kuwaondoa Wasomali huko Minnesota mmeona mje na propaganda za ******* namna hii!!!! Amefunga ndoa na huyo Ahmed Elmi tangu mwaka 2009 mpaka wameachana mwaka 2017 hamkuona kuwa ni kaka yake mje muone leo mwaka 2025!!! Acheni propaganda za kipumbavu.
 
𝕎𝕒𝕟𝕒𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕟𝕚 𝕜𝕚𝕥𝕒𝕓𝕦 𝕜𝕚𝕝𝕚𝕔𝕙𝕠𝕜𝕒𝕞𝕚𝕝𝕚𝕜𝕒 𝕖𝕥𝕚 𝕦𝕜𝕚𝕜𝕚𝕤𝕠𝕞𝕒 �𝕔𝕙𝕠𝕥𝕖 𝕦𝕟𝕒𝕚𝕥𝕨𝕒 𝕞𝕤𝕠𝕞𝕚 𝕟𝕒 𝕙𝕦𝕥𝕒𝕜𝕚𝕨𝕚 𝕜𝕦𝕤𝕠𝕞𝕒 𝕜𝕚𝕥𝕒𝕓𝕦 𝕜𝕚𝕟𝕘𝕚𝕟𝕖 𝕝𝕒𝕜𝕚𝕟𝕚

𝗦𝗶𝗷𝗮𝘄𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗮 𝗱𝗮𝗸𝘁𝗮𝗿𝗶 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝘁𝗼𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗺𝗮𝗹𝗶𝘇𝗮 𝘀𝘆𝗹𝘂𝗯𝘂𝘀 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘁𝗮𝗯𝘂 𝗵𝗶𝗰𝗵𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝗸𝗶𝗮𝗿𝗮𝗯𝘂 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗰𝗵𝗼 𝗵𝗮𝗸𝗶𝗻𝗮 𝗸𝗶𝗽𝘆𝗮 𝘇𝘀𝗶𝗱𝗶. 𝘆𝗮 𝘇𝗶𝗹𝗲 𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘇𝗮𝗺𝗮𝗻𝗶 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗯𝘄𝗮𝗻𝗮 𝗺𝘂𝗱𝗶 𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼𝗮𝗻𝘇𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗵𝗶𝘆𝗼 𝗶𝗺𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝗮𝗹𝗶𝗸𝘂𝘁𝗮 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗻𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘇𝗶𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮 𝗻𝗮 𝘇𝗶𝗹𝗶𝗶𝘁𝘄𝗮 𝗠𝗢𝗭𝗦𝗜𝗖 𝗟𝗔𝗪𝗦 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗻𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘇𝗶𝗮𝗰𝗵𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗲𝘆𝗲 𝗸𝗮𝘄𝗮𝘁𝗮𝗽𝗲𝗹𝗶 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗲𝘁𝗶 𝘇𝗶𝗺𝗲𝘀𝗵𝘂𝘀𝗵𝘄𝗮
 
Hayo mapenzi yana nguvu sana
 
Wewe Pumbavu kweli. Anawachachafya wenye nchi? Analazimisha kukaa nchi ya watu? Sasa wanamwondoa. Akawachachafye vizuri... 🤣 Yaani unaleta unafiki kwa watu kwa nini usikae kwenu kuzuri? Sasa hapo si amenichachafya mwenyewe. Aliolewa na kaka yake apate uraia wa marekani. Si ni aibu na kudhalilisha imani?
 
Kama ni hiko cheti basi Hakuna uthibitisho wa kwamba hao ni ndugu

Muda mwingine elimu ndo shida inafanya watu walete propaganda. Mfano sharia ya kiislamu inaruhusu watu waliozaliwa mama mkubwa na mama mdogo kuoana, vivyo hivyo mtoto wa mjomba na shangazi, mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo, nk

Sasa ukija kwenye mila zetu na mazoea ukisikia hiyo kitu utaona watu wanavyoshika vichwa na kuvurumisha maneno

Ombi
Mleta mada hebu tuambie huo undugu wa hao waliooana ukoje ili tujiridhishe na hii habari
Je sheria za usa zinaruhusu hivyo, huwezi practice sheria zenu za ******* nchi za magharibi.
 
𝕎𝕒𝕟𝕒𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕟𝕚 𝕜𝕚𝕥𝕒𝕓𝕦 𝕜𝕚𝕝𝕚𝕔𝕙𝕠𝕜𝕒𝕞𝕚𝕝𝕚𝕜𝕒 𝕖𝕥𝕚 𝕦𝕜𝕚𝕜𝕚𝕤𝕠𝕞𝕒 �𝕔𝕙𝕠𝕥𝕖 𝕦𝕟𝕒𝕚𝕥𝕨𝕒 𝕞𝕤𝕠𝕞𝕚 𝕟𝕒 𝕙𝕦𝕥𝕒𝕜𝕚𝕨𝕚 𝕜𝕦𝕤𝕠𝕞𝕒 𝕜𝕚𝕥𝕒𝕓𝕦 𝕜𝕚𝕟𝕘𝕚𝕟𝕖 𝕝𝕒𝕜𝕚𝕟𝕚

𝗦𝗶𝗷𝗮𝘄𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗮 𝗱𝗮𝗸𝘁𝗮𝗿𝗶 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝘁𝗼𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗺𝗮𝗹𝗶𝘇𝗮 𝘀𝘆𝗹𝘂𝗯𝘂𝘀 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘁𝗮𝗯𝘂 𝗵𝗶𝗰𝗵𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝗸𝗶𝗮𝗿𝗮𝗯𝘂 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗰𝗵𝗼 𝗵𝗮𝗸𝗶𝗻𝗮 𝗸𝗶𝗽𝘆𝗮 𝘇𝘀𝗶𝗱𝗶. 𝘆𝗮 𝘇𝗶𝗹𝗲 𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘇𝗮𝗺𝗮𝗻𝗶 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗯𝘄𝗮𝗻𝗮 𝗺𝘂𝗱𝗶 𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼𝗮𝗻𝘇𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗵𝗶𝘆𝗼 𝗶𝗺𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝗮𝗹𝗶𝗸𝘂𝘁𝗮 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗻𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘇𝗶𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮 𝗻𝗮 𝘇𝗶𝗹𝗶𝗶𝘁𝘄𝗮 𝗠𝗢𝗭𝗦𝗜𝗖 𝗟𝗔𝗪𝗦 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗻𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘇𝗶𝗮𝗰𝗵𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗲𝘆𝗲 𝗸𝗮𝘄𝗮𝘁𝗮𝗽𝗲𝗹𝗶 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗲𝘁𝗶 𝘇𝗶𝗺𝗲𝘀𝗵𝘂𝘀𝗵𝘄𝗮
Kitabu cha kingese sana hicho..ndiyo maana bw. Muddy alioa mtoto wa miaka 6
 
Umetoka Nyarugusu hujui hata kusafisha mavi mpaka leo unatumia gunzi la mahindi umeenda Dar mji wa kistaarabu ukajifunza na kuvaa suruali na kichomekea unatukana mtu aliye tafuta maisha kwenda nchi nyingine
Kwani mnatofautiana nini
Wewe mbona umehama kwenu ukaacha tabia za kishenzi unaishi na wastaarabu kutafuta maisha
Unamuonea wivu mtu alieenda kwingine kwa pesa yake na maisha yake hayakugusi basi tu hutaki hakai huko
Nani alikwambia US UK ni nchi za wakiristo peke yao
Mbona wazungu wengi wapo nchi za kiarabu wakitafuta maisha na wao
Acheni wivu na chuki za kijinga ndio maana maCCM yanawatawala kwa kuwagawa na ujinga huo wa kila kitu kuingiza dini
Issue hapo ni msomali lakini mada inahama kwenda ku discuss na ku diss uislam
 
Back
Top Bottom