Akimbia nchi nzuri ya Kiislamu kwenda ishi nchi ya Kibeberu na kuamua kuolewa na kaka yake

Akimbia nchi nzuri ya Kiislamu kwenda ishi nchi ya Kibeberu na kuamua kuolewa na kaka yake

wewe mbulula unajitekenya na kujichekesha mwenyewe
huu upupu aliokuambia mchungaji wako kautoa wapi kuwa Quran inasema inakufanya uwe daktari au engineer?
Au unalinganisha na upupu wanaosomea bibilia na kujipa vi phd vya upupu wa teolojia isio hata weza kujenga choo cha kuchutama
Sisi biblia Takatifu haitukatazi kusoma ELIMU nyingine. Ila Dini ya muarabu ndio haipendi kusoma kitabu tofauti ya hicho kitabu na hadithi zake zilizojaa ngonjera za abunwasi. Hivyo kwetu kusoma ELIMU nyingine ni sawa ili update ujuzi wa taaluma nyingine tofauti na dini. Kwenu ukikuta mtu kitabu Cha mwarabu kimemuingia sawa sawa mpaga udevu kapaka inna kama make up ili afanane na mwarabu atakubia kitabu chetu kimekamilika kina ilimu zote ni haramu kusoma ELIMU Dunia.
 
Back
Top Bottom