Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
MkuuHayo mapenzi yana nguvu sana
Kitu ambacho watu hawakielewi kuhusu maisha ya nje na kuingia kwake ni kuwa
Kama umetangulia nchi za nje na zenye maslahi na Maisha mazuri ni kuwa wengi huwa wanadanganya ili kuwaingiza ndugu zao kwa njia hizo.
Kama Ilhan alitangulia kwa kupata fursa hiyo na kaka yake akabaki huko basi alipokuwa mkubwa ikabidi aombe sheria kwa kaka yake kama mme wake
Ila sio mapenzi na kulala na kaka yake la hasha
Hii inatokea sana tena ninajua tangu miaka ya nyuma sana
Nakumbuka kuna mzee alimleta mtoto wa kaka yake na kumuandika kama mwanae wa kumzaa
Ila Baada ya miaka kijana akampenda mtoto mmoja wa baba yake mkubwa na kutaka amuoe, baba yake mkubwa akamwambia umesahau nilikuingiza nchini kama mwanangu?