Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani.
Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium...
Habarini
Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki.
Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu
Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo
Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani
Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa
soko la bidhaa mbalimbali za...
BUNGE limeazimia serikali kuondoa ruzuku kwa mashirika yanayojiendesha kibiashara ili yaweze kujiendesha kibiashara, kukidhi bajeti zao na kutoa gawio kwa serikali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli...
Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja.
Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio nyingi.Iraq nako ni kama hivyo.Libya mpaka balozi wa Marekani aluliwa ubalozi wao ulipochomwa moto.
Ukienda...
Habari wakuu.
Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike.
Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.
Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.
Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa...
🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk .
— Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika...
Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”. Mazingira haya yamehawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni’
Fursa. Haya ni mazingira chanya...
Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok
Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa
Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
biashara
forums
fursa
habari
jamii
jamii forums
kibiashara
kuanza
kufungua
kuhusu
kujua
mdogo
mtaji
mtaji mdogo
naomba
naweza
ushauri
ushauri wa biashara
BIASHARA CHINA INATENGEZA MATAJIRI WENGI, Tena vijana na wewe unaweza kuwa mmoja wao.
.
lakini pia unaweza kupoteza mtaji wako wote ikiwa kuna mambo hutoyafaham mapema.
.
Sasa kabla hujaenda china, hakikisha unayajua haya mapema ili safari yako iwe ya mafanikio makubwa.
1. Pata passport yako...
Kampuni za kibiashara ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa mashirika ya hisani (charity organizations) kwenye utekelezaji wa miradi na program mbalimbali. Utafutaji wa fedha kutoka kwenye kampuni hizi, kitaalamu unajulikana kama “Corporate Fundraising” . Kuna njia mbili za uchangiaji unaofanywa...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara.
Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja
1. Ununuzi kwa Wingi
Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
Katika hali ambayo inaonesha kuwa ni kudhibiti bidhaa za China nchini Russia. Serikali ya Putin imeongeza kodi ya bidhaa za China ili kulinda bidhaa zake. Jambo ambalo limeshtua kidogo watu wengine kutokana na ukaribu ambao mataifa haya yamekuwa yakijaribu kujenga dhidi ya NATO.
PATA HABARI...