Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa.
Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika Sekta ya Biashara.
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa naishi Kigoma mpaka hapa nahisi napoteza welekeo...
Wanatakiwa vijana watano (5) wenye wazo la ushawishi la kibiashara, kila mmoja wazo lake lisizidi mtaji wa shilingi laki moja. Faida atakayoipata kwa mwenye wazo zuri, ni tutawekeza fedha na tutagawana faida 60/40. Kama wazo litakuwa zuri sana na baada ya kufanya majaribio na kuthibitisha liko...
Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa.
Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.