Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi wakati wa usiku.
Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga.
Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa.
Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
Wakuu habari zenu,
Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari.
Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba...
Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar
Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya kusafirisha bidhaa na teknolojia mbalimbali nchini humo, usafirishaji wa mafuta...
Ifahamike kuwa wakati baadhi ya wafanyabiashara hawakuweza kulipa kodi, kuna wenzao waliweza kulipa kodi kwa aina hiyo hiyo ya biashara na soko hilo hilo.
Mfanyabiashara anapopanga bei ya bidhaa zake anatilia maanani gharama aliyotumia ikiwemo ulipaji wa kodi.
Sasa kama mfanyabiashara mmoja...
Kumekuwa na mahitaji au matamanio ya kila mtu anayepata kipato kutamani kumiliki na kuishi kwenye nyumba kubwa.
Wapo wanaodunduliza au kupata mikopo, na hatimaye kufanikisha lengo hilo.
Na kuishi kwenye nyumba kubwa, huku umeajiriwa, kiuchumi sio ufahari ; kwa sababu inakuwa haikuingizii...
Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.
Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.
Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.
Mimi moja ya mashine...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Wendy Sherman aliyekuwa ziarani nchini Angola, alisema Angola na nchi nyingine za Afrika kutumia vifaa vya kampuni ya Tehama ya China HUAWEI, ni kuhatarisha usalama wa nchi. Kauli hiyo aliyotoa Bibi Sherman baada ya...
Na. Mwandishi wetu, Shinyanga
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mradi wa Pamoja wa Vyama 14 Vikuu vya Ushirika vya Pamba, (Tanzania Cotton Co- Operatives Joint Enterprise Limited-TANCCOOPS LTD), wamekutana Mkoani Shinyanga huku wajumbe wa Mkutano huo wakitakiwa kuwa na uchungu na chama hicho, ili...
Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili.
Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"
Mradi una malengo makuu mawili:
1. Beekeeping transformation from local/primitive...
BOOKKEEPING TERMS.
Tumesema bookkeeping sio kwaajili ya wafanya biashara tu, hata mtu binafsi anaweza kuweka rekodi zake kutokana na shughuli zake za kila siku.
Sasa kuna maneno madogo dogo ya msingi ambayo yanatumika sana na wahasibu.
1. ACCOUNTING PERIOD
Hiki ni kipindi ambacho kampuni au...
Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara.
Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
Habari za wakati huu wakurugenzi;
Kwa wale ambao wako na Pesa lakini wanatafuta pa kuziwekeza.Unahitajika Mkopo wa Kibiashara.Kiasi cha mkopo unaohitajika ni Milioni 60.
Dhamana ya Mkopo ni kama ifuatavyo:
Kiasi cha 30% ya Mkopo kitadhaminiwa na Kiwanjja kilichoko Hai Kilimanjaro)Hakina...
Habari za wakati huu;
Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection.
Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
Habarini za mwaka mpya wana Jf!
Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona post nyingi kuhusu ufugaji nguruwe zenye mapungufu. Wakongwe wa Jf watanikumbuka maana nime post sana...
Tanzania could eclipse Kenya to become the dominant economy in the East Africa region going by the latest findings by a US-based consultancy firm Invesco.
Tanzania ranks at position six with Kenya coming at position 13 in the ranking of African nations most endowed with the potential to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.