kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwanini naamini hakuna mikataba ya siri tena! Hata ya kibiashara

    Mimi naamini zile enzi za mikataba ya kisiri ya serikali na wafanyabiashara tofauti kama Rostam umepitwa na wakati. Sababu ni hii siri zilizokuwepo huko nyuma zilikuwa kwasababu mikataba ni mibaya na aibu kwa jamii. Sasa tumefika sehemu ambayo hata mikataba mibaya bunge letu linapitisha wazi...
  2. L

    Watu wanazidi kujionea matunda ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Parachichi kutoka Kenya, korosho kutoka Tanzania, kahawa kutoka Ethiopia... katika miaka ya hivi karibuni, bidhaa bora zaidi za Afrika zinazidi kupendwa na wachina wa kawaida; huku barani Afrika, vijana wakiweza kununua bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa China kwenye jukwaa la biashara ya...
  3. masai dada

    Hoteli nzuri za kufikia unaposafiri kwenda nje ya Nchi

    Habarini Wakuu, Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara. Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na...
  4. Mr Lukwaro

    Mipango na mbinu za kibiashara kwa mjasiriamali Mdogo, Kati na hata Mkubwa

    Dunia leo hii inawataja mabilionea wafanyabiashara wakubwa kama vile Bilgates, Carlos Slim, Abraham Markovich, Trump, Mc Donald, Jeff Bezos na wengine wengi waliofanikiwa kifedha na kupata umaarufu mkubwa kupitia biashara. Imekuwa ni changamoto Kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo...
  5. R

    Serikali kuanzisha mfumo wa kidigitali kukusanya kodi kwenye matangazo ya mitandao ya kijamii

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
  6. Stephano Mgendanyi

    Vikwazo 10 vya Kibiashara Visivyo vya Kiforodha (NTBs) Kuondolewa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    VIKWAZO 10 VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs), huku vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili...
  7. kokudo

    Safarini NAIROBI kibiashara kwa Mara ya kwanza 🤔

    Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia Njia ni Sirari au Isibania MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
  8. I

    Ikulu; bidhaa ya kibiashara Meza Kuu

    Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?
  9. Mjinga sana mimi

    Naweza kufanya kitu gani /kutoa huduma gani kibiashara kupitia hivi vitu nilivyo navyo bila kuwa na mtaji?

    Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji? Vitu vyenyewe ni: 1.Smartphone 2.Simu ndogo.
  10. benzemah

    Wachumi Washauri Kariakoo uwe Mkoa maalum wa kibiashara

    Wataalamu wa uchumi wameshauri eneo la Kariakoo, Dares Salaam liwe mkoa maalumu wa kibiashara na pia mamlaka za serikali zinazohusika na biashara ziwe na mifumo inayosomana ili kuepuka migomo ya wafanyabiashara kwenye eneo hilo. Walisema serikali inapaswa kuipa Kariakoo hadhi ya kuwa Mkoa...
  11. Kabende Msakila

    Mazao ya muda mrefu ndiyo ukombozi wa mkulima - lima kibiashara ufanikiwe

    Wakulima na Washauri wa Kilimo, Salaam! Tukitaka kusonga mbele katika sekta hii ya kilimo inabidi tubadili utamaduni na mfumo mzima wa kilimo kwa kuwa kuendekeza njia za mapokeo imesababisha tuendelee kukwama. Kimkakati mazao ya muda mrefu ni pamoja na avocado (Hass hivi sasa bei kwa...
  12. chiembe

    Ni wakati sasa kutengeneza maeneo mapya ya kibiashara ili kuiondolea nguvu Kariakoo. Kariakoo ibaki kama mji wa kale

    Serikali inabidi Sasa ifikirie kuunda maeneo mapya ya kibiashara, nje ya kariakoo. Ni ajabu mpaka leo, kariakoo ndio eneo pekee la kibiashara Dar es Salaam, na hicho ndio chanzo cha msongamano mjini. Uwepo mkakati wa makusudi kuwekeza maeneo kama ubungo, kimara, bunju, tegeta kwa kujenga...
  13. Allen Kilewella

    Kwanini mazao yote ya kibiashara tunategemea kuuza nje ya nchi?

    Kabla ya Mwaka 1968 Tanzania ilikuwa ni mojawapo ya nchi yenye akiba kubwa ya fedha za kigeni. Zaidi ya asilimia 40 ya fedha hizo zilitokana na kuuza nje zao la Mkonge. Bei ya zao la mkonge lilipoporomoka na uchumi wa Tanzania nao ukatisika. Ni kwa nini soko la ndani siyo imara sana na la...
  14. kmbwembwe

    Wasiopenda udhibiti wa uandishi wa habari wana malengo ya kisiasa au kibiashara?

    Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini. Waandishi wakizungumzia kazi yao utafikiri ndio inaleta maendeleo nchini kumbe wengi ni ajira na wengi...
  15. Strictly Syrup

    Ninatarajia kuanza kujifunza 3D. Ni software gani inafaa na inatumika zaidi kwa matumizi ya kiofisi na kibiashara?

    Salaam brothers and sisters, Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets nitakazokuwa natengeneza kwa Adobe AfterEffects?! Natanguliza shukrani.
  16. P

    INAUZWA Pata Honlg: Pikipiki ya ukweli kwa mahitaji binafsi au kibiashara

    Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa. HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs...
  17. Tate Mkuu

    Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

    Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill. Kwa kweli...
  18. Mohammed wa 5

    Kisa kifo Cha AKA mgahawa wa wish on Florida umeshuka pakubwa kibiashara

    Uongozi wa mgahawa maarufu huko Darban Afrika kusini WISH pale ambako AKA alipigwa risasi,Baada ya kupata chakula chake Cha mwisho,last supper. Unatangaza kuufunga mgahawa wa WISH kuanzia tareh 10/4/ Wanatarajia kuwaalika watu mbalimbali kula chakula Cha mwisho unaoitwa last supper kwa ajiri...
  19. F

    Ushauri kwa Rais kuhusu mashirika ya kibiashara ya Umma

    Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa ushauri wangu walau kwa jambo moja tu kwa leo. Ni kuhusu shirika la ndege ATCL. Ukweli unaojulikana na...
  20. Egibert emily

    Naomba ushauri wa kibiashara ( biashara ndogo)

    Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi. Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria). Nahitaji kuanzisha biashara ya uji na maziwa hapa kahama. Hivyo sasa naomba ushauri juu ya biashara hii na mambo ya kuzingatia yote...
Back
Top Bottom