Habari!
Nadhani watu wengi mmeshawahi kuskia watu kadha wa kadha wakisema ya kwamba dunia inaendeshwa ki mfumo, ila pia mlio wengi huwa hampati nafasi ya kuuliza watu hao wanaosema hivyo wanamaanisha nini na badala yake huwa mnaishia tu kukubaliana nao au wachache ambao wanapata kuwauliza watu...
29 November 2024
Makao makuu ya EAC
Arusha, Tanzania
Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999
https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s
Tunapoadhimisha miaka 25 ya EAC iliyofufuliwa, nilipendekeza katika hotuba yangu leo kwamba pia...
Unajua kwanini wazee wetu waliishi umri mrefu na wa furaha? Ni kwa sababu mtazamo wao kimaisha ulikua tofauti na sisi. Waliishi maisha simple tu.
Mfano, pale kijana anapofikia umri wa mtu mzima, anapewa mke na ardhi ya kulima ili aweze kulisha familia yake.
Mke nae aji mikono mitupu, ndugu...
Mathayo 24 inatoa dalili za kubomolewa Yerusalem na Kuja kwa Yesu mara ya pili.
Walengwa wa Dalili hizo kwa ukubwa ni waovu, na wacha Mungu kwao ni kama tahadhari wasijisahau.
Dalili hizo zinatoa fursa nyingi za kibiashara. Kwa sababu Yesu alitoa agizo la kufanya biashara hadi atakapokuja, ni...
Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
BAADHI ya wafanyabiashara wanaouza maji wanayohifadhi katika matangi ya kubebwa na magari maarufu maboza, mkoani Dar es Salaam, wamelalama hali ni mbaya kibiashara kutokana na maji kuadimika.
Katika mazungumzo na Nipashe, wafanyabiashara hao wamedai kuwa kuadimika kwa bidhaa yao hiyo kunawapa...
Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia
https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0
DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao.
Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI!
Sijajua lengo la huu mpango ni lipi hasa?
Kwamba JKCI wana uhaba wa wateja?
Au JKCI wanafanya ushindani na...
Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv
Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu.
Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi.
Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini...
Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo
Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu
Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao!
Any way
Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa.
Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina...
Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii:
1. Kukuza Ustawi wa Kijamii
Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
HUsika na kichwa cha habari hapo juu, Taifa la Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayokuwa kwa kasi sana africa na africa mashariki
Lakin mbali na ukuaji wake bado kuna maeneo hasa miji iliyopo kandokando ya bahari yanahitaji kuwekewa nguvu ili ibadilike na kuwa majiji (Cities) HII Itasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.