kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  2. L

    China yaisaidia Afrika kupunguza nakisi yake ya kibiashara na China

    Baraza la serikali la China hivi karibuni limetangaza kuwa, China itasamehe ushuru wa asilimia 98 wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi sita za Afrika, zikiwemo Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Madagascar, Mali, na Mauritania, kuanzia Desemba mwaka huu. Hii ni moja ya hatua...
  3. L

    Ushirikiano kati ya Benki za Exim za China na Afrika kutoa msukumo kwenye ushirikiano wa kibiashara kati ya China na nchi za Afrika

    Benki ya Exim ya Afrika (African Export-Import Bank) na Benki ya Exim ya China (China Export-Import Bank) wamesaini makubaliano yanayoifanya Benki ya Exim ya China kutoa mkopo wa dola milioni 600 kwa Benki ya Exim ya Afrika, kwa ajili ya kufadhili mikopo na miamala ya fedha za biashara. Hatua ya...
  4. endagulda

    Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  5. TheChoji

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo! Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka...
  6. G

    Karibu tujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, kibiashara, ujasiriamali na uwekezaji ndani ya nchi yetu

    💥SOKO LETU LEO ONLINE💥 🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥 Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo. Wakuu kutokana na changamoto ya...
  7. masai dada

    Maonyesho ya kibiashara china na Turkey

    Kwa wadau wnaaotaka kusafiri china na turkey Kuna maonyesho mbali mbali Katika kipindi mbalimbali katika mwaka kama ilivyo kwetu Kuna 7/7. Nina dondoo kidogo...naomba tukutane hapa kupeana huu mchongo kwani nimekuja kugundua yaani Kwa sisi ambao hatukuwa kusafiri china au uturuki....kuenda...
  8. sky soldier

    Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  9. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Jinsi ya kusimamia Shirika ili lijiendeshe kibiashara na kupata faida

    Sehemu ya 1: Kuelewa Msingi wa Uendeshaji wa Biashara 1.1 Ufafanuzi wa Malengo na Mkakati Kuanzia na msingi wa biashara, ni muhimu kuweka malengo wazi na mkakati wa kufikia malengo hayo. Weka malengo ya shirika lako kwa muda mfupi na mrefu, na hakikisha kuwa yanaambatana na maono yako. Panga...
  10. Ojuolegbha

    Dkt. Damas Ndumbaro: Fanyeni Sanaa Kibiashara

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa wadau wa sekta ya Utamaduni na Sanaa nchini wafanye kazi hiyo kibiashara ili wanufaike zaidi. Dkt. Ndumbaro amesema hayo Oktoba 12, 2023 jijini Dar es Salaam alipotembelea Ofisi za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa nchini...
  11. Jidu La Mabambasi

    Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

    Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno. Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla. Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji - Tanzania, China, Uturuki na Indonesia Kuendeleza Ushirikiano wa Kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia nchini Mhe. Tri Yogo Jatmiko Septemba 9, 2023 katika Ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam...
  13. Stephano Mgendanyi

    Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta

    MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
  14. J

    Askofu Mwamalanga Amsifu Rais Samia Kuifungua nchi Kibiashara

    Viongozi wa dini wamemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua nchi kibiashara kwa kuwajengea wote wenye nia ya biashara kuingia kufanya hivyo, huku akiondoa vikwazo vinavyonyima fursa. Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Masheikh ya...
  15. Kariakooking1978

    Huduma gani zinazotolewa kibiashara na Makampuni mbali mbali ndani ya Dar es salaam ungetamani ziboreshwe?

    Hellow members, kama kichwa cha uzi kinavosema. Je, ni huduma gani inayotolewa kibaishara na kampuni au taasisi flani ndani ya jiji la Dar es salaam ungetamani iboreshwe? Taja jina la huduma, kampuni inayotoa hizo huduma, kero na maboresho ungetamani yafanyike. Karibuni.
  16. BARD AI

    Bunge la Ghana lipitisha Muswada wa Sheria inayoruhusu Kilimo cha Bangi Kibiashara

    Kwa Sheria hiyo mpya sasa, Serikali ya Ghana itaachana na mazoea na kuungana na Mataifa mengine takriban 10 ya Afrika yaliyoamua kuhalalisha Bangi kwa matumizi ya Dawa, Viwandani na Biashara nje ya Nchi. Pamoja na ruhusa hiyo, mimea ya Bangi itakayozalishwa chini ya Sheria hiyo itakuwa na...
  17. FaizaFoxy

    Watanzania tujiulize Maswali muhimu ya Kibiashara kuhusu bandari zetu kwa dunia ya leo

    Leo tuwache jazba, kejeli, matusi na ujinga. Hii kwa pande zote mbili, zinzoona DP World haifai na zinazoona DP World inafaaa tujadiliane kiustaarabu tuone "options " zetu ni zipi, zile zenye faida tuishauri serikali izifate, zile zisizo na faida tuishauri serikali isizifate. Kama una jibu au...
  18. L

    Maonyesho ya Biashara ya China na Afrika yaimarisha uhusiano wa kibiashara na kujenga siku njema za baadaye

    Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China. Maonesho hayo yalianza mjini...
  19. L

    Kushamiri kwa makampuni ya usambazaji yanayomilikiwa na watanzania kwaonesha maendeleo makubwa ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Tanzania

    Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
  20. ukara

    Je, inawezekana kwamba Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara?

    Naona kama Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara waliyokuwa wameishikilia enzi na enzi kabla ya ujio wa utawala wa kizungu Ninawaza sana maana naona mkakati wa kuirudisha pwani na bara katika mahusiano yao ya kibiashara kama hapo awali unaanza kujipenyeza taratibu japo wakati huu...
Back
Top Bottom