Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee.
Sababu za Kimaandiko:
Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani
1 Yohana 3:8 – "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani."
Yesu...
Mchungaji Kiboko ya Wachawi amesema kwamba Rais Samia atapita tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafsi ya urais.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.
Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.
Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea kwa kishindo huku akija na staili mpya ya mahubiri. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukimsikiliza vizuri nabii huyu anavyoendesha mafundisho yake ya kichonganishi, hana tofauti hata kidogo na staili aliyokuwa anatumia Kiboko ya Wachawi kabla ya kufurushwa nchini. Sitaki...
Huyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba
Hasomi hata Biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la Biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa...
Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu ya kumfukuza nchini Kiongozi na Mchungaji wa Kanisa la Christian Life maarufu ‘Kanisa la Kiboko ya Wachawi’, Dominique Dibwe kwa kukiuka misingi na mafundisho ya Vitabu Vitakatifu sambamba na kutoa wito kwa wahubiri wengine kufuata mafundisho ya Vitabu...
DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi.
Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake aidha
"Ninachokiomba mama unirudidhie mume wangu mimi ni mama wa Watoto wawili, Watoto wangu bado wadogo, wanaitaji malezi ya baba yao pia namuhitaji mumeo wangu kwa sababu yeye ndiyo msaada wangu sina kimbilio sina msaada...
Katika Siku za Karibuni zimeonekana 'Klipu' kadhaa Za Mchungaji anayejiita Kiboko ya wachawi mitandaoni zikimuonyesha akiwadhihaki na kuwadhalilisha Waamini waliokuwa wakitoa pesa zao kwake kwa madhumuni ya kuombewa. Ameonekana akisema 'amezimiss' Laki tano tano.
Ingawa wapo watakaosema kuwa...
Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition Congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa...
Baada ya kukaa saiti miezi mitatu huko polini kondoa pasipo kuingia internet, Hatimaye leo tumerejea Dar es salaam! Tuko huru kama kuna kazi umeme na ujenzi nipigie 0711756341
Nimerudi mjini Hakika mabadiliko yanaonekana! Mji unakuwa kwa kasi sana! Ukiwa hapahapa mjini kila siku huwezi kugundua...
JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao)
Pia inaweza kuwa kazi ya...
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani...
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .
1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu?
2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?
3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.