Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.
Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya...
Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.
Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na kushuka lakini inakuwaje mtu msomi kama Masha mwenye Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kutoka Kituo...
Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja.
Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
Njaa haina Baunsa na shida zisikie tu. Mzee wa Upako Antony Lusekelo ajisalimisha kwa kiboko ya wachawi Buza kupata huduma. Nani anamloga huyo mzee wa Upako? Laa dunia hii isikie kwenye radio.
Wasaalam.
Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli.
Nawasilisha.
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Utangulizi
Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo anayejiita “Nabii Dominiki, Kiboko ya Wachawi”, mwenye Huduma yake DSM, WILAYA YA TEMEKE, BUZA – MTAA...
Anonymous (8dcc)
Thread
dini na imani
dini na utapeli
kibokoyawachawi
nabii tapeli
Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu.
Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema, umri wa miaka 25 tu anatesea na masuala ya uzazi.
Mume anataka mtoto, mimba akishika tumbo halikui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.