Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu.
Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli.
Leo nitaitoa ishara moja tu.
1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri.
Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa?
Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Soma pia: Kufungiwa kwa...
Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye.
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life (CLC), lililoongozwa na Dominique Dibwe maarufu kama ‘Kiboko ya Wachawi’, imebainika kiongozi huyo wa dini anaendelea kutoa huduma hiyo, huku akiomba mamilioni ya fedha kwa waumini wake.
Tofauti na awali, Dibwe ambaye ni raia wa Jamhuri ya...
Hoja 3 zilizowekwa kwenye barua ya kufungwa kwa Huduma ya Kiboko ya Wachawi ni hoja mfu.
Binafsi nachukia na kupata hasira ninapoona mtu anafanya kazi ya Kristo kwa kuwalipisha watu Senti, kuwauzia watu vifaa vya kiroho au kusisitiza sadaka za kufunguliwa, sadaka za kubarikiwa, sadaka za...
Huyu jamaa alikwenda kwa lulenge aakamsfia na makofi kibao kanisani
Gafla kamkaqta naabii mwenzie anasema asiengeweza kuendelea na mahubiri kama yale ya kishenzii
https://www.facebook.com/reel/1511150019497272/?mibextid=FqQbvRVe40gbju2b
Unaweza kusema ni suala la muda tu kabla kanisa la Kiboko ya Wachawi kufunguliwa na kuendelea na huduma kama kawaida. Matumaini haya yanatokana na kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, ndugu Sixtus Mapunda ambaye amewaambia waumini wasiwe na wasiwasi wowote kuhusu kufungiwa kanisa lao. "Tunafahamu...
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.
Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.
Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku...
Fanyeni upesi kwani ama Usiku huu wa Leo au Kesho hatokuwa tena Ardhi ya Tanzania.
Msije kusema GENTAMYCINE sijawaambia. Na mkimkamata mwambieni nchi ya Jirani aliyokimbilia Mumewe.
Pia soma: Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali
Kafanya Dhambi kubwa sana kwa...
Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto
Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu
Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika
Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai
Huyu Baba...
Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki...
Kwenye mada.
Tunaona mitandao ana trends sana jamaa mimi nimeanza kumfahamu huyu bwana kupitia nyimbo ya singeli nikaanza kumfuatilia huyu bwana inakuwaje kwa hichi anachokifanya anapata watu.???
Nikagundua tanzania tuna tuna uwezo mdogo sana katika kuchakata mambo na kuyatafakari.
Ilikuwaje...
Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua.
Suguye anakusanya kucha na nywele za...
Fredick Sumaye aliyekuwa waziri mkuu wa Mkapa aliwahi kusema. Ukitaka mambo yako yanyooke jiunge na CCM. Je, kiboko ya wachawi hakuzingatia huu ushauri?
Pamoja na sababu zote zitakazosemwa ku justify kifungo chake bado kuna wenzake waliotenda mabaya zaidi na bado wanadunda kwa raha zao.
Kuna...
Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni .
Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili
USSR
Pamoja na Kanisa lao kufungiwa na serikali ya Tanzania, lakini Waumini wake wamemiminika kwa wingi leo kanisani hapo wakiamini Ibada ipo
Je yawezekana hawakusikia Tangazo la Serikali?
=============
Kiongozi wa Kanisa la Christian Life Church, Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya...
Asanteeee serikali
KAULI NZITO YA ASKOFU BAADA YA SERIKALI KUFUNGA 'KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI!
Ndugu Watanzania!
Leo ni Siku ya Dominika. Lakini ninapojiandaa na mimi kwenda 'kukomunika' pamoja na watu wengine wa Mungu kama ilivyo desturi yetu ya Wakristo kwa siku kama ya leo, nimewiwa sana...
Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.