kiboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni sahihi mtu kujiita Kiboko ya Wachawi?

    Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee. Sababu za Kimaandiko: Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani 1 Yohana 3:8 โ€“ "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani." Yesu...
  2. AI ya Elon max ya mtandao wa X ! kiboko ya uongo

    Nimeipa kazi ya kutengeneza picha ya sura yangu!! Nilikua naijaribu tu maana hatujawai onana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
  3. Mawasiliano ya Kiwanda cha bati Kiboko:

    Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu. Thanks in advance ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  4. D

    Yas fiber ni kiboko cha speed hata starlink hawaoni ndani. check hizi speed

    Yas ni balaa na nusu
  5. M

    Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  6. Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

    Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo. Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system. Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
  7. Ushauri kwa Diwani wa Kata ya Nyasura Wilayani Bunda Kiboko Magigi

  8. Majizzo kiboko kaja na speaker zake Kali

    ๐— ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri ๐Ÿ”Š. Majizzo ameamua kuleta speaker izo ambazo zenye kutumia teknolojia ya Bluetooth kuweza kukupatia...
  9. Maji Marefu Kiboko ya Wachawi

  10. Hakuna mnyama anae mshinda kwa mbio kama huyu Ngiri nguruwe mwitu Simba chui hapa kiboko yao V18

    Anaitwa Nguruwe poli ama NGIRI Ni mnyama anae trend sana kwenye Kila Reels ya social media. Na anauwezo wakukimbia haijalishi adui ametokezea wapi, na anauwezo wakumtisha yoyote adui awe simba ama fisi au chui na viboko wanamuogopa. Napenda anavyo kimbia mwamba. Wewe unamjuaje? Karibu...
  11. Hiki ndicho Mwafrika alichobobea. Mambo ya kufirika fikirika. Leo atagundua Kiboko ya wachawi ni tapeli kesho anaenda kwa kiboko ya majini

    Maisha yaendelee...
  12. Hii Dawa kweli ni kiboko ya popo!

    Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana! Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena. Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil (grisi) changanya na paka sehemu wanayoingilia na kutokea ama toboa signboard panda juu paka mbao za...
  13. Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

    Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti. Duniani cheza na...
  14. Live:Ibada ya mpenyo wa kifedha na nabii kiboko ya wachawi

    https://www.youtube.com/live/YnZrlTCDEQc?si=K0IFuAjemyfD9BKZ Karibuni
  15. Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

    Wakuu msaada nimemaliza dawa ila panya hawapungui Kuna kiboko nyingine
  16. KWA KIBOKO WA WACHAWI PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA .ASKOFU EDWARD AMEPANUNUA

    PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH BISHOP EDWARD ANASEMA๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ "TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
  17. Kiboko ya Wachawi: Kanisa ni katoliki mengine ni vibanda tu

    Habari JF, Hapa pastor Dominic -kiboko ya wachawi alikuwa na maana gani? Je, na yeye alikuwa ana miliki kibanda? Je, hii kauli ina ukweli kiasi gani?
  18. 'Afande' Fatma Kigondo anayedaiwa kusaidia Binti wa Yombo afanyiwe Ukatili wa Kingono afunguliwa Kesi ya Jinai

    DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi. Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
  19. Je, Watanzania tumeridhika kabisa na Dharau, Kejeli na Matusi anayotufanyia sasa Tapeli wa Kiimani 'Kiboko ya Wachawi' akitokea huko Kwao Congo DR?

    Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.
  20. Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

    Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo. Soma pia: Kufungiwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ