kiboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FaizaFoxy

    Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

    Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea. Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu. Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO. Taliban hawakukubali, wakaingia vitani...
  2. KASHAMBURITA

    Tuipongeze yanga lakini kisiwe kiboko kwa simba

    Mafanikio hayana chama Kama wahenga wanavyosema.kitendo cha yanga kufikia fainali ya kombe ya shirikisho n Jambo kubwa kwa maendeleo ya soka la Tanzania lakini Kuna msemo unasema "Roma haikujengwa kwa siku moja" hii Ina maana ndani ya mafanikio ya yanga Kuna mafunzo waliyoyapata kutoka kwa wa...
  3. B

    Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi. Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
  4. KENGE 01

    Hii tiba ni kiboko ya Magonjwa sugu. Itumie

    Anaandika Kenge Salam wanabodi! Maradhi ni moja ya adui mkubwa wa Taifa letu..kila kukicha maradhi yanaibuka leo utaumwa hiki kesho utaumwa kile..hii yote ni kwasababu ya lifestyle yetu kiujumla. .Kikawaida maradhi yamegawanyika kwenye makundi mengi yapo ambayo...
  5. M

    Msaada: Nisipokula tungi huwa nakabwa na majinamizi ya kichawi. Ina maana tungi ni kiboko ya wachawi?

    Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti. Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele. Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Januari hii ya 2023 ni kiboko ya Januari zote tangu tupate uhuru

    Habari za kushinda wakulungwa! Hii January ni kiboko. Au mnaionaje nyie wenzangu. Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga. Hii January hata Mimi imenichapa.
  7. Intelligent businessman

    Jermain Defoe kiboko ya wanawake wote wapenda kitonga au mteremko

    Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe. Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za Sunderland,toronto,rangers na Bournemouth. Huyu bwana ameushangaza ulimwengu kwa ujumla baada ya kuthibitika kuwa...
  8. escrow one

    Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost. Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
  9. D

    Msaada kuhusu mabati aina ya Kiboko

    Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha, Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
  10. Etugrul Bey

    Single Maza kiboko ya Wavulana

    Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?" Swali kwenu wavulana hao ambao sio single Maza mnao chapiwa...
  11. Chikenpox

    Kiboko ya maendeleo ile wengine walishindwa

    Mama Samia tuokoe sisi maskini na usisahau kumkamata Biswalo ambaye katudhulumu sisi wanyonge bila makosa yoyote. Najua naye yule angekuwepo angekamatwa pia kwa kudhulumu watu uhai na pesa zao. Maskini Nimrodi Mkono kapalalyse kisa alifilisiwa na pesa yake kuchukuliwa kwenye account zake
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

    KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA! Anaandika, Robert Heriel Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama...
  13. TODAYS

    Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

    ☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake. 👇🏾Na hapa chini Kuna mdau kaandika hivi; Our leaders went to the UK and are being treated the way they treat us... Wadau wengi...
  14. Expensive life

    Harmonize kweli wewe ni kiboko ya WCB

    Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea. WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha. Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
  15. D

    Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao! Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
  16. Dr Matola PhD

    Je, wajua kwamba kunguni wanasumbuwa Ulaya na Marekani? Kama na wewe unasumbuliwa na kunguni hii ndio sumu kiboko yao

    Kunguni ni wadudu wadogo wa familia ya Cimicidae Wadudu hawa huishi kwa kufyonza damu ya wanyama wenye damu moto (mamalia na ndege). Spishi hii huishi mara nyingi katika vitanda vya watu na masofa majumbani kwetu. Watu wengi kwakutokuelewa wanadhani na wanaamini kunguni uwapata watu wachafu...
  17. J

    CHADEMA ni kiboko, Rufaa inachukua miaka miwili kusikilizwa!

    Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili. Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa. Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
  18. Kulupango

    Kiboko ya mtoto anayelia lia hovyo kama zezeta au kulilia vitu vya watu

    Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri. Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
  19. Valencia_UPV

    Emirates Airlines: Kiboko ya Mabishoo!

    UAE pekee wanapokea watalii zaidi ya 30m kwa mwaka na hawanaga jambo dogo. Utalii kwao umechagizwa na Emirates airlines. Fikiria safari ya Dakika 45 (Dubai to Manama/Bahrain) wanarusha mzinga wa pipa wa abiria yapata 400. Itachukua miaka 500 na filamu kadhaa kuwafikia.
Back
Top Bottom