Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.
Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.
Hakika huyu Dk siku...
Napenda kuwatahadharisha wadau wote kuwa muwe makini zaidi mkiwa barabarani hasa kwenye foleni jijini Dar kwani kuna kundi la vijana zaidi ya 30 maarufu kama 'KIBOKO MSHELI' wanaovamia magari wakiwa na mapanga,nondo na visu kwa lengo la kupora chochote ulichonacho na halikadhalika wanaua ama...
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi...
Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko.
Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe.
Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni.
Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Kwema Wakuu!
Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.
Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀
Ila Lisu Kiboko tuacheni utani.
Lisu ni...
Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi.
Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
Hii Gari Ni cc 1990 tu lakini Ina space kubwa ndani na ni seat 7. Inafaa kwa kazi ngumu. Mpaka ifike Bongo ni 7,000 USD tu.
**Kuliko uhangaike na sijui Noah, Alphard mwishowe uonekane Mama Lishe sijui mdangaji chukua Grand Vitara uwe wa kishua
Je umekuwa ukihangaika ulinde vipi simu yako kuepuka wezi wanaokata madirisha usiku wakati umelala. Pengine hukujua tu lakini play store zipo apps nyingi za anti theft. App hizi zinatofautiana uwezo kutokana na developer aim, hapa ntaelezea baadhi ya sifa za hizo app;
1. charger unplugged. Kama...
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'
Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.
Amesema...
Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara.
#KaziIendelee
Source: Wizara ya Afya
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza..
Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final
Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo..
Kaizer ameshatangulia fainali
RAIS WA JMT MAMA SAMIA KUMSTAAFISHA UENYEKITI WA CHADEMA NDUGU FREEMAN MBOWE IFIKAPO MWAKA 2023.
Na; Philipo Mwakibinga
Muda kidogo nilijiuliza sana bila kupata majibu juu ya azma na uamuzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe (Mwamba) kutangaza kuwa ifikapo Mwaka 2023 atang'atuka uenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.