Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Swali kwenu wavulana hao ambao sio single Maza mnao chapiwa...