Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili.
Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa bonus uchwara, wanaokwenda wao hawana akili au tulikosea kukudhamini uraia? Hebu ukue basi.
Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi
Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga
Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu.
Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa.
Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika...
Simba sasa hiv inabebwa sana na Kibu Dennis, huyu mwanaume amefika hapa kwa sababu ya zomea zomea yetu mashabiki wa Simba kwake, alikuwa akifanya makosa mengi sana kiasi kwamba tulidhani hastahili kuchezea Simba, nayakumbuka sana maneno ya Mzee Magori alipomzungumzia mchezaji huyo wakati...
Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars.
Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
Ilikuwa inaelekea mwisho mzuri. Huyu dogo Kibu Denis akaja iharibu mwishoni kabisa. Simba kutoa draw ingenifanya nifurahie sababu wote sisi tungekuwa hakuna wa kumcheka mwenzie.
Lakini. Dk za jioni Kibu Denis anakuja kuipatia simba bao la ushindi. Sikupenda na sikufurahishwa. Ila nikubali...
Kibu hajaimbwa sana kwenye ligi ya NBC..! Wachambuzi hawamuoni ama wanajifanya hawamuoni.
' Role ' anayoivaa kwenye Mechi Muhimu za Kimaamuzi za Kimataifa ndizo zinazomfanya awe 'distinct'..!
Rejea Mechi Ya Al Ahly Tripoli alivyoilainisha Mechi kwa Bao lake Maridadi La Tick taka .! Isingekuwa...
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.
Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja...
Viongozi wa Simba wanaendelea kufanya makosa yale yale Kila mara na awabadiliki!
Kibu Denis kwa kitendo alichokifanya alistahili adhabu ya maana na asingeruhusiwa kujiunga na wenzake kwenye mazoezi, angetumikia kwanza adhabu yake ili liwe fundisho kwa wengine, lakini Cha ajabu kibu anaonekana...
Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri.
Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho.
Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya.
Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu.
Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za...
Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri.
Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi.
Kibu Denis ana jinamizi au...
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU
Mara upo Marekani,
Mara upo kijijini,
Mara haupo kambini,
Hatukuoni ndegeni,
Twakuita kikosini,
Sasa upo nchi gani?
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU.
Maokoto, nyumba pia,
Vyote tulikupatia,
Bado umetukimbia,
Pesa hatutapokea...
Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka.
Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya Simba.
ℹ️ Klabu ya Kristiansund BK imeandika barua rasmi kwenda Simba SC ili kumnunua mchezaji huyo...
Msikie alichokizungumza Mchezaji wa Simba Kibu D baada ya sitofahamu inaendelea kati yake na Klabu yake na Simba
Ambapo hapa ameeleza kila kitu na kumuhusu Meneja wake ambaye ndiye alikuwa anatoa taarifa zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.