Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!
Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake.
Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana kwamba Kibu Denis na Bernard Morrison wameingia kwenye kikosi cha kwanza. Ni wachezaji wazuri sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.