Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
Wachina wanafungua car wash
Wachina wanafungua supermarket
Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
Wachina wanafungua maduka ya rejareja
Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
Wachina...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi
Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel...
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) hivi karibuni liliamua kuorodhesha Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina kwenye mali za urithi za kiutamduni za bindamu. Uamuzi huo utasaidia kuhimiza ongezeko la ushawishi wa utamaduni wa jadi wa Kichina duniani.
Historia...
Aliyekwisha tumia dawa za kichina au hizo za kiarabu kutibu matatizo ya tumbo ,maumivu ya miguu nakadhalika ninaomba anishauri!
Zipi zinafanya kazi vizuri na kwa uhakika,za kichina au za kiarabu?
Kwa nilivyofikia, niko tayari kwa ushauri kuhusu dawa hizo!
Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha.
Wananchi wamechukua uamuzi huo baada ya watoto kuanza kuiba pesa majumbani na kwenda kucheza kamari,
Pia...
Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina.
Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
Ilikuwa "mafanikio makubwa katika vita dhidi ya uhalifu wa mtandao", mamlaka ilisema baada ya uvamizi wa mashirika mengi dhidi ya kampuni inayomilikiwa na Wachina.
Kampuni hiyo iliwaajiri Wazambia ambao waliaminishwa walipaswa kuwa mawakala wa kituo cha simu.
Kati ya vifaa vilivyokamatwa...
Kwema Wakuu!
Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu.
Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
Nimeona taasusi mpya zilizotolewa na wizara ya elimu Tanzania. Naomba tusaidieni mawazo kama zinatekelezeka na zina tija kwa watoto wetu
1. Tuambieni waalimu wa lugha ya kiarabu, Kifaransa na Kichina tunao? Chuo gani cha ualimu kinafundisha haya masomo kwa ngazi ya degree? Nauliza degree kwa...
Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na kuwavutia maelfu ya watu waliotaka kushuhudia utamaduni maalumu wa Kichina.
Maelfu ya Waganda na...
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
Wizara ya Uchukuzi ya China hivi karibuni inakadiria kuwa idadi ya watu watakaosafiri wakati wa Chunyun itafikia bilioni 9, kiwango ambacho kitakuwa rekodi mpya katika historia.
Chunyun, maana yake ni kilele cha usafiri wa abiria wakati wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina. Kipindi cha...
Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hivi karibuni umepitisha kwa kauli moja azimio la kuweka Mwaka Mpya wa Jadi wa China kuwa sikukuu ya Umoja huo. Kwa miaka mingi, Katibu Mkuu wa Umoja huo ametoa salamu za pongezi kila Wachina wanaposherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na...
Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.
Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.