kichina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akilihuru

    Pitia hapa kama unahitaji movie yoyote ya Kizungu, Kihindi na Kichina

    Kwema wakuu, Hii thread ni special kwa wale wana JF wenzangu wanaopenda movie mbali mbali za kizungu, kihindi na kichina. Lakini kwa bahati mbaya wamesahau majina ya movie husika, pamoja na wale waliocheza movie hizo. Kwa leo naomba nianze na movie hizi kadhaa za kizungu, kihindi na kichina...
  2. Suley2019

    Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  3. L

    Watoto wajifanya kuwa "madaktari wadogo" wakati wa mapumziko ya majira ya joto ili kufahamu utamaduni wa dawa za jadi za Kichina

    Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
  4. ommytk

    Serikali inakusanyaje kodi katika zile mashine za Kichina za kamali?

    Wadau kuna hizi machine za kamali za wachina zimetapakaa kila Kona ya mijinI hadi vijijini na wenyewe utawakuta na harrier na Krueger wanakusanya hela. Je, hizi mashine Serikali wanapataje mapato yao na zinaingizwaje nchini na zina usimamizi gani wa Serikali maana hawa jamaa wanapata hela...
  5. YEHODAYA

    Urusi waanza kutumia bidhaa za Kichina na Kihindi

    Vladimir Putin said Wednesday that Russia is rerouting trade to "reliable international partners" such as Brazil, India, China and South Africa as the West attempts to sever economic ties. "We are actively engaged in reorienting our trade flows and foreign economic contacts towards reliable...
  6. L

    Mashindano ya 21 ya "Daraja la Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yafanyika nchini Ufaransa

    Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
  7. Jitume Biashara

    Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

    Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
  8. R

    Msaada: Anayejua darasa zuri la Kichina jijini Arusha

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita. Natanguliza shukrani.
  9. Lexus SUV

    Movie za Kichina na Kikorea zenye kuonesha historia (hasa za kivita) ni nzuri sana

    Wakuu, nimetoka. Kuangalia movie za nchi tajwa hapo juu za kihistoria ambazo zina akisi yaliyotokea. Into fiction movie , movie hizo ni: 1. SACRIFICE. 2. The BRIGDE AT toko -Ri 3. The steel helmet 4. My way Zote hizo hapo juu zina potray. Historical true war periods that happened...
  10. chiembe

    Utawala wa JPM ulitengeneza mabilionea wa kichina, Uturuki na waarabu, ,Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK walitengeneza matajiri wazawa

    Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers. Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
  11. L

    Maktaba ya Kitaifa ya Kenya yaandaa shughuli za lugha ya Kichina

    "Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..." Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi alikuwa akifundisha jinsi ya kuimba wimbo wa Kichina "What a Beautiful...
  12. Rion Jr

    Hotel za Wachina zinapatikana eneo gani Dar es Salaam

    Habari za mchana wana JF, Nilikuwa naomba kujua hoteli za Wachina kwa hapa dar es salaam zinapatina maeneo gan? Kama unajua hotel yoyote ya wachina na mahala ilipo unijuze
  13. L

    Wanyama na wadudu waamka kipindi cha tatu cha mwaka “Jing Zhe” kwa kalenda ya kichina

    Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni kipindi cha tatu katika mwaka mzima, ambapo mimea na wadudu wataanza kukua kwa kufuata mabadiliko ya...
  14. New Rider

    Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Habari wakuu, Mwishoni mwa mwaka 1998 na mwanzoni mwa miaka 2000 kuna wanajeshi walienda nchini China kuchukua mafunzo ya ngazi Fulani. Baada ya muda Fulani walirejea nchini, walirudi na vitu mbalimbali ikiwemo zawadi, mmoja kati ya wanajeshi hao ambaye tulikuwa na undugu nae, alirudi na mmea...
  15. Rais2045

    Naomba kupatiwa syllabus ya somo la Kichina kwa shule za sekondari

    Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
  16. L

    Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  17. Idugunde

    Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  18. Komeo Lachuma

    Simu Bora za Kichina kwa Bei Rahisi kabisa

    Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi. Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri...
  19. TODAYS

    KUTOKA ZANZIBAR: Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi awaaga madaktari bingwa wa kichina waliomaliza muda wao

    Sehemu ya matukio katika picha ambapo mheshimiwa rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na madaktari bingwa kutoka nchini china walipokuja Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kufanya kazi ya kutoa huduma ya Afya katika kisiwa cha Unguja kupitia hospitali ya Mnazi mmoja na...
  20. William Mshumbusi

    Hii ndio aina ya Demokrasia yetu ya kichina, wapinzani wakiilazimisha ya kimagharibi watatumia

    Nilishaandika maandiko mengi juu ya fikra za watawala wetu na Demokrasia tunayoiamini.. Ubaya NI kwamba Uchina ilipiga hatua kuanzia 1980 baada ya kufata Utawala wa kimagharibi. Waliporuhusu vyama vingi, Uhuru wa kibiashara, Sekta binafsi kupewa nafasi, Uhuru wa vyombo vya habari Kisha...
Back
Top Bottom