Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu ilipoonyeshwa, filamu hiyo imepata yuan bilioni 1.6, na kuifanya kushika nafasi ya pili kwenye mauzo ya...
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.
Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka
Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa...
Katika kile kinachoonekana kama serikali ya Uchina kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa nchi ya Kenya kulipa mabilion ya pesa waliyokopeshwa ili kutekeleza miradi mikubwa ya kiuchumi kama SGR nk,makundi maarufu ya udukuzi yenye uhusiano mkubwa na nchi ya China yameanzisha operation maalum ya udukuzi...
Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la?
Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Kwanza kabla sijaanza kueleza kisa changu naomba niongee kitu kimoja.
Huwa nashangaa sana unakuta mtu ana IST old model, passo, harrier old, Noah Sr40/sr50, Noah voxy za mwanzoni, Harrier chogo matoleo ya mwanzo, raum, spacio, n.k. anapagawa gari yake ikitolewa masega. Tena kibaya zaidi kama...
Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo.
Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina...
Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika.
China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320.
Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.
Wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Zhejiang walifanya shughuli za kushuhudia ya mwaka mpya wa jadi wa kichina ili kupata uzoefu wa desturi za China na kuona uzuri wa utamaduni wa jadi wa China.
When I was young and stupid kama ungeniuliza ni mji gani ungependa kutembelea duniani basi ningekuambia mji wa Canton, Canton ni mji ulio kando ya bahari katika nchi ya china lakini kwa sasa hivi uniatwa Guangzhou. Sababu ya mimi kupenda mji huo ni kwakua those time nilikua mpenzi sana wa muvi...
Walimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Mimi nikiwa mmojawapo niliyekuwa na shauku ya kutaka kujifunza hii lugha ya kichina. Niliwandikia UDSM mail, nashukuru wamenijibu mapema jana. Soma zaidi kwa ufafanuzi.
Pamoja na Salamu kutoka CI
Hii ni kuhusiana na Darasa la Lugha ya Kichina kama habari iliyopo inavyotaka
1. Kuna masomo ya...
Habari wakuu,
Nipo mbele yenu, nimeweza kutafuta vihela ili niweze kununua simu.
Baada ya kuwaza sana nimeona simu inayo nifaa ni HUAWEI P20 PRO.
Hivyyo mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie.
Natafuta used inanitosha sana.
Kama unayo ni PM.
Mawasiliano yangu ni...
Tangu kuanzishwa kwa mradi wa kujifunza lugha na utamaduni wa China mwezi Julai, 2021, vijana wengi wa Sudan Kusini waliojiandikisha katika madarasa ya lugha wamegundua umuhimu wa lugha ya Kichina.
Mayiik Deng, mwenye umri wa miaka 25, ni mmoja wa wanafunzi wa mwanzo wanaoshiriki muhula wa tano...
"Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai na Desturi Zinazohusiana” zilizowasilishwa na China tarehe 29 Novemba, zilipitishwa kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kiserikali ya UNESCO ya Kulinda Urithi wa Utamaduni Usioshikika uliofanyika huko Rabat, Morocco, na kuorodeshwa kuwa Urithi wa...
Na Gianna Amani
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija katika maeneo mengi sasa. Teknolojia imechangia katika kurahisisha shughuli za binadamu, lakini...
Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line.
Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka.
Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china.
Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.