Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hivi karibuni umepitisha kwa kauli moja azimio la kuweka Mwaka Mpya wa Jadi wa China kuwa sikukuu ya Umoja huo. Kwa miaka mingi, Katibu Mkuu wa Umoja huo ametoa salamu za pongezi kila Wachina wanaposherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na...