kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Davidmmarista

    Somo la Business Studies litakuwa la lazima kwanzia kidato Cha kwanza hadi Cha nne

    Taarifa kutoka NECTA
  2. Davidmmarista

    Ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2025.

    Ratiba ya mtihani wa taifa 2025 kidato cha nne
  3. J

    Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  4. Waufukweni

    Rais Samia: Ujasiriamali kuwa somo la lazima kwa Sekondari kidato cha kwanza hadi nne. Ili kuandaa vijana kujitegemea

    Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
  5. J

    Jokate apongeza matokeo kidato cha nne shule iliyopewa jina

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa jina lake Jokate Mwegelo Girls, imepata ufaulu mkubwa katika matokeo ya kidato cha nne ambapo...
  6. AbuuMaryam

    Tafakuri kuhusu matokeo ya kidato cha 4 mwaka huu

    Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.? Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la? Au zamani elimu ilikuwa ngumu? Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie? Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
  7. Harvey Specter

    Waliozuiliwa matokeo kidato cha nne kurudia mitihani 2025

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  9. Morning_star

    Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

    Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
  10. D

    Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  11. T

    Mashirika gani yanasaidia wanafunzi wanaotokea mazingira magumu , kidato cha 1 - 4

    Ndugu wana jamiiforum ni matumaini yangu nyote mnaendelea vyema. Nina mdogo wangu anaenda kidato cha pili sasa , lakini kutokana na chanagomoto za kiuchumi nina wasiwasi huenda si ndoto yangu tu hata yake huenda ikafa. Amesoma shule ya msingi na kufanikiwa kuwa na ufaulu wa juu hatimaye...
  12. Davidmmarista

    Tujadili Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yaliyo Tangazwa Jana

    Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
  13. Mtoa Taarifa

    Wanafunzi 210,578 wa Darasa la 4 wamepata Daraja E kwenye Mtihani wa Upimaji, 116,251 wamefeli Kidato cha Pili

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo...
  14. Greatest Of All Time

    Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  15. M

    TAMISEMI rekebisheni madudu haya mliyofanya kwenye selection za wanafunzi wa kidato cha Kwanza 2025

    Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa halikuwahi kujitokeza bali lilianza kuonekana kwenye selection za mwaka 2023 na mwaka huu. Nipo tayari...
  16. gugumaji

    Ana miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha?

    Ana miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha? Naomba mawazo yenu.
  17. Roving Journalist

    Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  18. Morning_star

    Kupangiwa shule wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza itatoka lini?

    Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
  19. Waufukweni

    Makete: Mzee wa miaka 62 ambaka mwanafunzi wa kidato cha pili

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na kundoka, nikaondoka kwa hasira na kwenda kukaa kwenye kitanda, nlisahau kufunga mlango, alivyoingia...
  20. Stephano Mgendanyi

    Faris Buruhani Awaasa Wahitimu Kidato cha Nne Kusimamia Ndoto Zao

    Jumla ya wanafunzi 134 wavulana 72 na wasichana 62 wamehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari katoro day huku wakitakiwa kusimamia ndoto zao, ili kukabiliana na changamoto za maisha, jamii, familia na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa...
Back
Top Bottom