Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya taifa ya kidato cha sita na ya ualimu inayotarajiwa kuanza kesho Mei 3, 2021.
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde amesema jumla ya watahiniwa 90,025 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ambapo kati ya...
Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini.
Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya.
Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake.
Chanzo: HAROUBTV.
Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020
Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.