Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu
Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
Habari ya jumatatu wandugu.
Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu
Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda
Tusambaze ujumbe huu tukaguse maisha ya watoto wetu
Na Mungu atubariki🙏
Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu
Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara mdogo, tatizo sio ajira hakuna, tatizo sio fursa, tatizo sio kusoma mchepuo wa hati au sayansi...
Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.
Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
Habari wanajukwaa;
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha kusomea baada ya Necta kutangaza matokeo yao.
Pili na mwisho katika utambulisho,hongereni sana vijana...
Habari!
Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi...
Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000.
Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka.
Kwa mujibu wa gazeti...
Natafuta kazi yoyote halali.
Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko
Je, kulingana na...
Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule.
Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
Na Mwl Matete
Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2021 imeongezeka kwa asilimia 14.
Ongezeko hilo linakuja baada ya jumla ya watahiniwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu...
Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia.
Kiukweli 24/7...
Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwa upya maana wengi watakosa sifa hiyo.
Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lakini za Kata shida ipo (na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.
Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
Habari zenu ndugu wa Jamii Forums.
Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi?
Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne?
Nielimisheni tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.