Kwema wana JF,
Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa...
Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba.
Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology.
Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
Mimi nakumbuka tukiwa Mtihani wa Geography tulitolewa chumba cha Mtihani kwa madau Pepa imevuja hadi Bungeni Wabunge wanayo. Tukasimamiswa wote Mtihani ubabadilishwa siku, wazimamizi na rangi mtihani kutoka Njano kuwa Nyeupe.
Habari wanajukwaa!
Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu.
Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa?
Hii screenshoot ya...
Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati.
Ingawa wengi hutazama suala hili kama ni sehemu ya vijana kuumiza vichwa vyao katika tafakuri zao ila bado linabakia...
Habari!
Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho.
Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na...
Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
Habarini za mchana,
Ijumaa nilipokea mwaliko wa kuhudhuria MAHAFALI ya kidato Cha NNE huku nyanda za juu, kiukweli nimekumbuka mengi sana.
1.KWAYA
"Haikuwa rahisi kuifikia siku hii yenye mafanikio, oooh tazama.. tazama wote kwa shangwe furaraha nasema Asante Mungu baba"
Kama kuna anaekumbuka...
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya wazazi wake kumhoji juu ya mwenendo wa tabia zake ambazo zimeonesha kutokuwaridhisha wazazi.
Kijana...
Katika Hali inayojulikana kama maandamano ya kupinga watoto kupotea katika nchi yetu, Kwa Mujibu wa UTV, KUNA kijana ameuwawa Kwa kupigwa rasasi na polisi hapo Jana tarehe 21/08/2024
Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music na walimu wa michezo wa kutosha? Tuliuliza kwa sababu tunajua vyuo vyetu haviandai walimu wa masomo...
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents.
Mawasiliano yangu ni 0693414477.
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam.
Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents.
Mawasiliano yangu ni 0693414477
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.
Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024
Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
SOKO LA AJIRA KWA VIJANA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA.
TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO.
Je vijana wenye elimu ya kidato cha nne na sita wanasaidiwaje katika soko la ajira?
Je mfumo wetu wa elimu umewatengenezea ujuzi wowote hawa vijana waliohitimu kidato cha nne na cha sita na...
Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne
Kwanza kabisa, ninawapongeza wanafunzi wote ambao wamefanikiwa kumaliza kidato cha nne na kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano, au wale waliopata nafasi katika vyuo mbalimbali. Safari yenu ya elimu ni muhimu na...
UTANGULIZI
Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.