NIKIONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAELEA KILA MWAKA, NAJUA YAMEUNDWA
Utangulizi
Elimu yetu imekuwa ikipitia katika vipindi tofautitofauti na mabadiliko makubwa ili kuiboresha. Mabadiliko haya huhusisha viongozi, mitaala, mihutasari na hata fomati ya mitihani. Hii ni tafsiri tu kwamba hakuna...
Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM
Economics D
Geography E
Mathematics E
Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting ila kulinga na TCU siwez kusoma tena
Naombeni ushauri wenu nirudie mtihani, niende diploma au...
1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko.
2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila...
Somo la Physics, somo la Physics.
Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana?
Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana kwa kukutana na maswali ambayo sikujua hata nianzie wapi kusolve.
Bado namkumbuka mwalimu wangu...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.
Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
Kama ningeweza kurudisha muda nyuma ili nirudi kuwa muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022, basi ningefanya yafuatayo ili niandae vizuri kesho yangu:
Sitaomba Chuo Kikuu kwasababu tu nimemaliza kidato sita na nimefaulu kupata vigezo vya kuingia Chuo Kikuu.
Sitaingia Chuo Kikuu kwasababu tu...
Mkuu wa Tawi la Utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali Hassan Mabena amewaita vijana wote waliohitimu kidato cha sita 2022 kutoka shule zote za Tanzania Bara kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo kwa mujibu wa sheria.
Brigedia Jenerali Mabena ametoa wito huo leo Jumanne Mei 31...
Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini.
Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita.
Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele?
Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2.
Asante.
Hizi shule zinachukua wanafunzi wa wastani wa juu kabisa, yani wanafunzi waliofanya vizuri darasa la saba kwa kifupi wanachukua Cream tupu, Hapa naongelea shule kama Kibaha, Mzumbe, Kisimiri, Msalato, Tabora Boys n Girls , Kilakala na Ilboru .Shule hizi upande wa Olevel hazifanyi vizuri sana...
Huwa kuna utaratibu gani mtu akitaka Ku resit mitihani ya form 6 aliyemaliza mwaka huu mwezi wa 5 na hakufanikiwa kwenda bachelor ataenda Ku resit shule au kwenye vituo na anahitaji Ku resit Masomo yote CBG utaratibu upoje
Habari waja Jamii Forums mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi yoyote elimu yangu ni form six pia nimesoma pharmaceutical science mwaka wa pili nilishndwa kumaliza kutokana na kukosa ada. Naomba umnisaidie kupata kazi yoyote itakayonisaidia kujikim kimaisha na baadae nirudi kumalizia elimu yangu.
Umri 26
Jinsia ME
Makazi.. Dodoma mjini
Nb
Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa...
Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea.
"sipendi umaskini"
Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.
Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.