Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.
Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania...
Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 nahitaji kuomba mkopo mwaka huu je nitakubaliwa bila kuambatanisha cheti changu cha kidato cha sita maana shule niliyotoka nadaiwa ada.
Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka.
Kwa mujibu wa gazeti...
Habari wakuu, ni matumaini yangu mko vizuri.
Leo nimewaletea fursa kwa wale wamiliki wa stationary, wamiliki wa shule au taasisi za kiellimu, wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita na hata wazazi pia wanaweza nufaika.
Upatikanaji wa material ya kujisomea kwa wanafunzi umekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.