Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa jina lake Jokate Mwegelo Girls, imepata ufaulu mkubwa katika matokeo ya kidato cha nne ambapo...
Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.?
Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la?
Au zamani elimu ilikuwa ngumu?
Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie?
Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa.
Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk...
Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya!
Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika.
Mafunzo yalikuwa...
Ndugu wana jamiiforum ni matumaini yangu nyote mnaendelea vyema.
Nina mdogo wangu anaenda kidato cha pili sasa , lakini kutokana na chanagomoto za kiuchumi nina wasiwasi huenda si ndoto yangu tu hata yake huenda ikafa.
Amesoma shule ya msingi na kufanikiwa kuwa na ufaulu wa juu hatimaye...
Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo...
Habari wakuu,
Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa halikuwahi kujitokeza bali lilianza kuonekana kwenye selection za mwaka 2023 na mwaka huu. Nipo tayari...
https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025.
Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na kundoka, nikaondoka kwa hasira na kwenda kukaa kwenye kitanda, nlisahau kufunga mlango, alivyoingia...
Jumla ya wanafunzi 134 wavulana 72 na wasichana 62 wamehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari katoro day huku wakitakiwa kusimamia ndoto zao, ili kukabiliana na changamoto za maisha, jamii, familia na taifa kwa ujumla.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa...