Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu
Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara mdogo, tatizo sio ajira hakuna, tatizo sio fursa, tatizo sio kusoma mchepuo wa hati au sayansi...