kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mapokezi ya matokeo ya Kidato cha Nne 2023

    Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5. Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa. Ebu fikiria, kama kafeli utatakiwa uwaze juu ya kumpeleka private school, wakati trh 8 tu mwezi huu mifuko...
  2. C

    Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne. (Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
  3. Kijana kama kwenu maisha magumu ukimaliza kidato cha nne nenda VETA, achana na kidato cha 5

    Kidato cha 5 muwaachie watoto waliotoka familia zilizoendelea. Miradi ya kimkakati karibu yote itaajiri vijana kutoka technical colleges ngazi ya diploma na certificate (NTA level 5&6). Ukiwa kazini utaipambania degree utaitwa boss Utakuwa hero aliyetoka mavumbini. Msije kusema sijawaambia.
  4. N

    Ukosefu wa ajira unavyodunisha uripoti wa wanafunzi wa kidato cha kwanza miaka hii

    Mzazi ana watoto wawili aliowasomesha kwa tabu hadi chuo kikuu lakini wote wako nyumbani na hakuna mwenye ajira hata mmoja. Leo mzazi huyu kumpeleka mtoto sekondari tena anaona ni kumtania kabisaaa. Hiyo ndo sababu ya uripoti duni wa wanafunzi wa kidato cha kwanza; 2023 ulikuwa mkubwa lakini...
  5. Je, naweza kurudia masomo ya Kidato cha 6 kwa mchepuo tofauti?

    Wanajamii naombeni kuuliza, nilisoma mchepuo wa EGM nikamaliza shule Sasa nataka nikaanze masomo ya Udaktari. Je, naweza kwenda tena kusoma advance mchepuo wa PCB ili niweze kwenda udaktari?
  6. Nafasi za ajira Jeshi la Magereza kwa vijana kuanzia kidato cha Nne

  7. NECTA 2023: Wanafunzi 359,424 wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili wamefeli, Wengine 211,997 hawakufanya Mtihani

    Matokeo ya Mitihani ya Upimaji Kitaifa kwa Wanafunzi wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili iliyofanyika Oktoba na Novemba 2023 yameonesha Wanafunzi 147,837 (8.73%) wa Darasa la 4 hawakufanya Mtihani wa Upimaji ambapo Wasichana ni 60,835 (7.04%) na Wavulana ni 87,002 (10.50%). Pia, Wanafunzi 257,396...
  8. Baraza la Mitihani latangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa National form II Results 2009 aibu Kwa...
  9. wale tuloingia na 4 figure kwenye chumba cha mtihani wa kidato cha nne na kukosa cha kujibu kuja hapa.

    leo nimekumbuka sana maisha nikiwa ya kidato cha nne na hasa nilipokuwa naenda kufanya mtihani wa hesabu with zero brain in calculation lakin cha ajabu nilitumia muda mwingi kufikiri kuliko mtihani wowote na ajabu zaidi niliingia na kitabu cha four figure wakati sikuwahi kujifunza kabisa yaani...
  10. Kidato cha Kwanza 2024 Kuanza Kusoma Mtaala Mpya

    Utekelezaji wa Mtaala mpya kuanza Januari 2024 Mnamo tarehe 02 Novemba 2023, Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa(Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitoa taarifa rasmi juu ya kuidhinishwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023 na Mitaala ya Elimu Ngazi ya Elimu ya Awali...
  11. Rais Samia awatakia kheri watahiniwa wa Kidato cha Nne 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amewatakia kheri wahitimu wa kidato cha nne wote nchini wanaoanza mitihani yao leo Jumatatu Novemba 13 na kutarajiwa kuimaliza Novemba 30, 2023. “Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Nne mlioanza mtihani wenu...
  12. Unakumbuka nini wakati unafanya mtihani wa Kidato cha Nne

    Wanajamvi. Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa. Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
  13. K

    Kuna harufu ya rushwa Wilaya ya Kwimba katika maandalizi ya mtihani wa Kidato cha Nne

    Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023. Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu...
  14. Nauliza hivi shule ya Sunshine Secondary kibaha wanapokea watoto wa kidato cha nne?

    I mean kumhamisha mwanafunzi kutoka shule nyingine kumpeleka Sunshine Sec Kibaha ahamie kidato cha nne dirisha la January 2024? Au hawapokeagi wanafunzi kuhamia kidato cha nne? Vipi kuhusu ufaulu wao? Ada zao ni how much? Maadili?
  15. Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

    Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo...
  16. Kidato cha pili kuna jinamizi gani kupelekea wafunzi wengi kupata mimba?

    Ukizungumza na mabinti ambao hawakuweza kuendelea na shule kwasababu ya ujauzito, wengi wao watakwambia walipata mimba walipokuwa kidato cha pili. Sasa nauliza kidato cha pili kuna jinamizi gani?
  17. Mbunge Tauhida Atoa Misaada kwa Wanafunzi wa Kidato cha Nne Walioko Kambini, Awaasa Kushirikiana.

    MBUNGE TAUHIDA ATOA MISAADA KWA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WALIOKO KAMBINI, AWAASA KUSHIRIKIANA Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea Mitihani ya Kidato cha Nne Wanafunzi wa Kidato hicho wameaswa kutumia muda ambao wako Kambini kushirikiana na kuelekezana katika Masomo jambo ambalo litawapelekea...
  18. Mbunge Tauhida Atembelea Wanafunzi Kidato cha Nne Skuli ya Mfenesini

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS ATEMBELEA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WANAOJIANDAA NA MTIHANI WA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Zanzibar, Mhe. Tauhida Cassian Gallos ameambatana na kuongozana na Mwenyekiti wa Katibu wa UWT Wilaya pamoja na Madiwani wa Viti Maalum alipotembelea na kuonana na...
  19. R

    Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  20. Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi Angalizo; Mimi si Askari na sina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…