kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Naomba kujuzwa ada ya shule ya sekondar ST. Anthony

    Naomba kuuliza bwana jf kuwa ada ya shule ya sekondar st Anthony ada yake ni kiasi gani kwa anayetaka kujiunga. Tafadhal kwa anayejua anijuze
  2. LIKUD

    Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023 @AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya...
  3. BROTHER OF BROTHERS

    Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Habari yako mwana JF, Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi. Wiki Moja kabla ya...
  4. mandawa

    Mwl. Wema akamatwe kwa kumpoteza Mwanafunzi Warda Mohamed

    Wadau, nimesikiliza na kufuatilia swala la kupotea binti Warda Mohamed mwanafunzi wa kidato cha kwanza huko kibaha, hakika inasikitisha jinsi Mamlaka husika yaani polisi na oficin ya mkuu wa wilaya Nick wa pili jinsi ambavyo wamelikalia kimya swala la huyu binti aliepotea tangu Mwezi wa nne...
  5. Colly 7

    SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
  6. O

    Binti aomba msaada aendelee na masomo kidato cha tano

    Morogoro. Binti mmoja mkazi wa Mafisa, manispaa ya Morogoro, Amina Abdul amewaomba wadau wa elimu, viongozi pamoja na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata vifaa na mahitaji mbalimbali ili aweze kwenda shule ambako amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano. Amina ambaye amemaliza...
  7. R

    Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

    1. Ufaulu huu mkubwa tulioushuhudia si kuwa watoto walisoma sana na kuwa na uwezo wa kujibu maswali. Kwanini nasema hivyo: Haiwezekani shule ambayo mwaka jana ilikuwa na 90% or so Div 0/Div 4, leo ghafla ina div 1 and 2. 2. Shule ambazo zimejiwekea rekodi ya kudumu ya kufeli, leo zinaongoza...
  8. T

    Kwa ufaulu huu kidato 6, 2023. Bila upanuzi vyuo vikuu ni Div one tu wataingia vyuo vikuu

    Matokeo ya kidato cha sita 2023. Karibu shule zote daraja lenye idadi kubwa ya waliofanya vizuri ni daraja la kwanza ( Division one). Kwa matiki hiyo mambo yafuatayo yanaweza kujitokeza; 1. Kama vyuo vikuu vitachukua wanafunzi kulingana na uwezo wake kama miaka ya nyuma ni dhahili kuwa...
  9. PAZIA 3

    Matokeo kidato cha sita na vyuo vya kati 2022/2023 haya hapa

    https://monscareers.com/necta/
  10. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi. DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
  11. BakalemwaTz

    Matokeo ya kidato cha sita 2023/2024 yanatoka lini?

    Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05...
  12. BARD AI

    Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  13. shinji

    Je, ni kweli Serikali imefuta ada kwa kidato cha tano na sita?

    Heshima kwenu, Serikali ya awamu ya sita ilitangaza kufuta ada kwa kidato cha 5 na sita kwa shule za serikali ambayo ilikuwa ni shilingi 70,000/=. Nimepitia fomu za kujiunga na kidato cha 5 mwaka huu 2023. Kuna mchango mpya umeanzishwa unaoitwa mchango wa uendeshaji wa shule kiasi cha shilingi...
  14. Maria Nyedetse

    Selection ya kidato cha tano kuna mengi ya kujifunza

    Habari wanajamvi... Niende kwenye mada; mwaka huu TULIPATA habari kuwa wanaopangwa SAYANSI yaani PCM na PCB ni wenye daraja la kwanza tu tena wavulana ni 7-15 na WASICHANA ni 7-17... Ni jambo jema kuimarisha msingi wa elimu ili kujihakikishia wataalam bora hapo baadaye; Ninachojiuliza mimi ni...
  15. Nyendo

    Bajeti kuu, 2023-2024: Mapendekezo ya kufutwa kwa ada kwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaopangiwa vyuo vya kati

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchema amesema bajeti inapendekeza kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi wanaopangiwa vyuo vya kati na Serikali wakimaliza kidato cha nne, vyuo hivyo ni, DIT, MUST na AITC. Waziri wa fedha amesema serikali imefikia uamuzi huo ili kuzalisha wataalamu wengi wa fani...
  16. O

    Orodha ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo

    Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa mwaka wa masomo wa 2023-2024, hakuna tofauti nchini Tanzania. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
  17. Engager

    Kwa wazazi, walezi na wanafunzi mliochaguliwa kujiunga kidato cha 5

    Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla. Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
  18. Urban Edmund

    Hatimaye Tamisemi watoa post za kujiunga na kidato cha tano, Special na shule binafsi zaongoza kwa wanafunzi wake kupangiwa special again

    hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi...
  19. Mributz

    Wanafunzi 129,830 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano

    Mwenye link aweke mm ni mbeaa === Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki amesema wanafunzi 129,830 wakiwemo wasichana 66,343 na wavulana 63,487 sawa na 69% ya wanafunzi wenye sifa, wamechaguliwa kujiunga na shule za sekondari za kidato cha tano. Angellah Kairuki ameyasema hayo leo Juni 11, 2023...
  20. W

    Sasa hizi selection za kidato cha tano (form five) na vyuo zitatoka mwezi wa sita au?

    Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao. Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
Back
Top Bottom