kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2022 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  2. Kama ningekuwa Muhitimu wa Kidato cha Sita Mwaka huu 2022. Ningefanya nini cha Tofauti??

    Kama ningeweza kurudisha muda nyuma ili nirudi kuwa muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022, basi ningefanya yafuatayo ili niandae vizuri kesho yangu: Sitaomba Chuo Kikuu kwasababu tu nimemaliza kidato sita na nimefaulu kupata vigezo vya kuingia Chuo Kikuu. Sitaingia Chuo Kikuu kwasababu tu...
  3. Wanafunzi Waliohitimu kidato cha sita Mwaka 2022 waitwa JKT

    Mkuu wa Tawi la Utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali Hassan Mabena amewaita vijana wote waliohitimu kidato cha sita 2022 kutoka shule zote za Tanzania Bara kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo kwa mujibu wa sheria. Brigedia Jenerali Mabena ametoa wito huo leo Jumanne Mei 31...
  4. USHAURI: Kwa matokeo haya nisome kozi gani?

    Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
  5. Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
  6. C

    Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

    Wakuuu kwema Hii ndio elimu bure? Kwanini serikali isiajiri wapishi ikawalipa? Inauma sana.
  7. Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  8. Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Habari za wakati huu wana JF. Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
  9. Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  10. A

    Kwa Mara ya kwanza swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima geography 1 kidato Cha sita

    Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
  11. H

    Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

    Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
  12. Ushauri: Jinsi ya kujiandikisha kama Private Candidate kwa mitihani ya Kidato cha Sita

    Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita. Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele? Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2. Asante.
  13. W

    Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne na Certificate ya Secretarial Courses

    Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:- Secretary Stationary Reception Costumer care Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
  14. B

    Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne

    Habarini za kazi wapendwa poleni na majukumu ya kila siku Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne aniambie je? iwapo mtu anataka kurudia masomo yote aliyofanya mwanzao inawezekana na atapewa cheti kingine na division mpya tofauti na ya awali au utaratibu ukoje...
  15. M

    Mfumo wa kubadilisha Combination kidato cha nne haufanyi kazi

    Wadau kwema Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
  16. USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

    Salamu Wana JF. Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya. Asanteni.
  17. Mafunzo ya VETA yawe ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita

    Nimekuawa nikiwaza Hivi tukipata kampuni kubwa mfano toyota ijenge kiwanda Tanzania ihitaji vijana 1000 walio somea kupaka rangi kwenye magari tutapata? Wakihitaji vijana 1000 walio somea Kuchomea tutapata? Wakihitajika vijana 500 waliosomea kutengeneza pancha na kujaza upepo kwenye magari...
  18. Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza. Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni...
  19. TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

    Habari wanajukwaa, Mimi nimekuwa mhanga kwelikweli wa elimu yetu hii ya tanzania hasa huku chini. Juzi TAMISEMI wametoa mwongozo mpya ambao unatakiwa kutumia kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpakakidato cha 6, ambapo kila mwalimu anatakiwa kuandaa kalenda la kufundisha na kwamba wanatak...
  20. D

    Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…