kidemokrasia

  1. Harvey Specter

    Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  2. Yoda

    Wachina wengi wanaamini nchi yao ni ya kidemokrasia, Wamarekani wengi zaidi wanaamini nchi yao(US) sio demokrasia!

  3. MBOKA NA NGAI

    Ni ipi hatma ya General Antoine Byangolo Ngondo wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

    Brigedia General Antoine B. Ngondo; ni mmoja wa wanajeshi wa ngazi ya juu, waliokuwa mashariki ma nchi hiyo, wakati vita vya jeshi la nchi hiyo na kundi la waasi la M23 vimeshamiri. Baada ya kuzidiwa na waasi, wenzake waliondoka na boti kuelekea Bukavu,kupitia ziwa Kivu. Kwa bahati mbaya...
  4. comte

    Kutoka uchaguzi wa kidemokrasia hadi mapindizu yasiyo ya kumwaga damu CHADEMA

    Mchakato uchaguzi wa kidemokrasia huishia na makabidhiano ya mamlaka, madaraka na ofisi. Leo Lissu kaingia ofisini na mtangulizi wake Mbowe hakuwepo kumkabidhi mamlaka, madaraka na ofisi. Hii inafanya uchaguzi wao kuwa mapinduzi https://www.youtube.com/watch?v=sg4irUqemHs
  5. Genius Man

    Sisi kama nchi Tumetoka kwenye mfumo wa haki na demokrasia tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu uliovaa uso wa kidemokrasia

    Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio kama inavyoonekana kuanzia kwenye vyama hadi kitaifa kwa ujumla. Watanzania wengi kama mimi wapo...
  6. Mkalukungone mwamba

    Lipumba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Ulitarajiwa Kuponya Majeraha ya Kidemokrasia, Lakini Umezidisha Maumivu

    "Uchaguzi Serikali Mitaa 2024 ulitarajiwa kuponya majeraha ya Kidemokrasia yaliyotokana na Uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini umezidisha maumivu na kuwakatisha tamaa wananchi na wadau wote wa demokrasia juu ya uwezekano wa kutopata Uchaguzi huru na wa haki hapa nchini, Matokeo ya Uchaguzi...
  7. USSR

    Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

    Barua hii hapa chadema wafungiwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika USSR
  8. DR Mambo Jambo

    NATUBU: Kama Niliwahi Kukitukana Chama Changu cha CCM kuhusu kuwa na misingi Mibovu ya Kidemokrasia Naomba kwa Dhati kabisa Nisamehewe

    Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana.. Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza kugombea tena nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, kimeacha alama ya fedheha kwa yeyote anayependa siasa za...
  9. T

    CCM ni chama kioga zaidi kwa ushindani wa kidemokrasia kinaongoza Kusini mwa Jangwa la Sahara na AfriKa kwa ujumla!!

    Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake binafsi ndani ya chama, yaani mnampa fomu mgombea mmoja. Ukiangalia kwa makini kilichojificha nyuma ya kituko hicho ni kuogopa changamoto za ushindani ndani ya chama ingawa changamoto hizo zingesaidia sana wananchi kupata chaguo bora la wakati ila wao...
  10. Pang Fung Mi

    Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  11. Cute Wife

    LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

    Wakuu, Saa 5 asubuhi hii Mbowe kutema cheche Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, nini kitaendelea? Vuta sofa kwa updates. https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAk?si=U4fqpWwWOg47j7jV === Kwahiyo CHADEMA hapa ndio anaenda kuongea Mwenyekiti wa Chama? :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh...
  12. chiembe

    Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  13. Roving Journalist

    Ushiriki wa Vijana katika michakato ya Kidemokrasia Nchini kujadiliwa katika Wiki ya Azaki

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKIELIMU, John Kallaghe, akizungumza katika mkutano huo kuhusu ushiriki wao na mambo watakayofanya katika Wiki hiyo. Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan vijana katika kutoa maoni yao kwenye michakato ya Kidemokrasia nchini, umetajwa kuwa moja ya...
  14. The Sheriff

    Hong Kong yawafutia hati za kusafiria wanaharakati 6 wa kidemokrasia waliokimbilia Uingereza, yaahidi kuwafuatilia maisha yao yote

    Aliyekuwa mbunge na mwanaharakati wa demokrasia Nathan Law ni miongoni mwa watu sita ambao pasipoti zao za Hong Kong zimefutwa na serikali. Serikali ya Hong Kong leo Jumatano, Juni 12, 2024 imesema kwamba imefuta hati za kusafiria za wanaharakati sita wa kidemokrasia walioikimbilia Uingereza...
  15. K

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Bunge Mbadala kwa ukomavu wa kidemokrasia nchini

    Utangulizi Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi hizi zinafanana. Ni mfumo wa miaka mingi ambao chanzo chake ni tawala za kifalme za nchi ya...
  16. R

    What are the Key Features of Democracy? Je, Tanzania tunazo sifa za kuitwa nchi ya kidemokrasia?

    What are the Key Features of Democracy? Democracy is the most successful political idea in the world. Democracy allows ordinary people a decisive say in who governs a country and how they govern it. It is based on a system of government by all the citizens of a country, typically exercised...
  17. 2 of Amerikaz most wanted

    Nchi za kidemokrasia Afrika na uchaguzi wa haki

    African Countries Where Opposition Parties Have Won Presidential or General Elections. 2024 - Senegal 2023 - Liberia 2022 - Lesotho, Somalia 2021 - Zambia, Cape Verde 2020 - Seychelles, Malawi 2018 - DR Congo, Sierra Leone, Madagascar 2017 - Liberia, Somalia, Lesotho 2016 - Ghana, Benin...
  18. Lycaon pictus

    Inawezekana kuwa na demokrasia na chaguzi za kidemokrasia bila ya kuwa na vyama vya siasa?

    Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina gawa nchi. Hata Marekani yenyewe inayodaiwa kukomaa kidemokrasia imegawanyika sana kutokana na...
  19. K

    Tanzania maajabu nchi ya kidemokrasia Rais kuwa na nguvu ya hivi!

    Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
  20. The Sheriff

    Vijana wengi wa Kiafrika wanaona miundo ya Kidemokrasia Afrika inahitaji maboresho

    Licha ya hamu kubwa ya kidemokrasia, vijana wa Kiafrika hawana nia ya kuiga demokrasia za Magharibi. Badala yake, wanafikiri kuwa miundo na mifumo ya kidemokrasia inapaswa kubadilishwa ili kuendana na mazingira ya ndani ili kufanikiwa. Kwa mujibu wa utafiti wa African Youth Survey wa mwaka...
Back
Top Bottom