kidemokrasia

  1. The Sheriff

    Kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (Civic Space) Tanzania: Si salama kuendelea kuishi chini ya Sheria kandamizi

    Kumekuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (civic space), yaani ushiriki huru katika masuala ya kidemokrasia nchini Tanzania kabla na baada ya uchaguzi wa tarehe 28 Oktoba, 2020. Serikali sio tu ilijionesha wazi kukandamiza vyombo vya habari, lakini pia kudhoofisha uwezo wa...
  2. Miss Zomboko

    Maafisa wa serikali wanapowajibishwa, na misingi ya kidemokrasia inapoheshimiwa kuna uwezekano mkubwa wa huduma za umma kuboreshwa

    Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008: 20-21). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja zao...
  3. J

    CHADEMA wanaamini ikipatikana Katiba mpya CCM itaondolewa madarakani kidemokrasia kitu ambacho siyo kweli

    Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba. Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi. Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba...
  4. Fundi Madirisha

    Historia inathibitisha kuwa Kiongozi mkubwa wa upinzani anapofungwa, mabadiliko ya kidemokrasia yanakaribia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa historia na msomaji mzuri matukio ya kisiasa duniani na mabadiliko ya kidemokrasia katika nchi mbali mbali na hata kwenye ukombozi, utakubaliana na mimi mabadiliko ya demokrasia na katiba katika nchi hizo yaliambatana na maumivu makali ya viongozi wa vyama vyama vya...
  5. M

    Zambia na Malawi kwenye Demokrasia ziko mbali sana, Tanzania tuko sawa na Burundi

    Amani na utulivu, Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi. Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa...
  6. Red Giant

    Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiongozwa kidemokrasia

    Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia. Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa...
  7. Behaviourist

    Denmark wanasema wanataka kuhakikisha watu wao wako SALAMA kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu

    Mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania Denmark anasema kuwa wanataka kuhakikisha watu wao wako salama kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu. Wameyasema haya baada ya kutoa tangazo kuwa watafunga balozi zao Tanzania. Ikumbukwe kuwa Denmark imekuwa mdau...
  8. Behaviourist

    Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
  9. J

    Sasa CCM inaendeshwa Kidemokrasia, si rahisi kumfuta mtu uanachama bila kufuata Katiba

    Unajua nyakati zile hata mzee Membe alifukuzwa kibabe zaidi na siyo kwa mujibu wa katiba. Kwa sasa siyo rahisi kumvua mtu uanachama wake kwa sababu demokrasia imetamalaki ndani ya CCM. Mtu atavuliwa uanachama kwa mujibu wa vikao "halali" vya chama ndio maana unaona akina komredi Kipepe...
Back
Top Bottom