kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Kuna Umuhimu wa Serikali na Asasi za Kiraia kuongeza Ufahamu na Uelewa wa Wananchi kuhusu Sheria zinazohusu Usalama wa Kidigitali

    Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea. Kwa...
  2. BARD AI

    Kenya kuanzisha Vitambulisho vya Kidigitali vyenye taarifa zote za Wananchi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema Serikali yake inatarajia kutambulisha vitambulisho vya kidijitali vyenye data ya kila raia. Wakati akifungua Mkutano Mkuu wa saba wa ID4Africa Augmented General mjini Nairobi, Ruto alisema hii ni sehemu ya mpango wa serikali kuweka mfumo wake wa kidigitali wa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edward Ole Lekaita Asisitiza Matumizi ya Uchumi wa Kidigitali & Apongeza Ujio wa Minara ya Mawasiliano kwenye Kata 12 za Jimbo la Kiteto

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
  4. olimpio

    Wababe wa Kidigitali Tanzania Sekta Binafsi na Umma

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inageuka kutoka analogy kwenda digital, utendaji wa sekta binafsi na serikali vinabadirika kwa kasi sana. Leo tuwaangalie wachache kati ya wengi, viongozi wanaoongoza mageuzi ya kidigitali nchini, toka sekta binafsi na sekta ya Umma. 1. Vodacom Managing...
  5. T

    SoC03 Mfumo wa Upigaji Kura Kidigitali na Kielectroniki

    (MFUMO WA KIDOLE GUMBA) Kidole gumba ni wazo la kuanzisha mfumo wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa njia ya kidigitali na kupiga kura kielektroniki kwa kutumia alama ya kidole gumba. Wazo hili linahitaji ushirikiano wa pande mbili, yaani tume ya Taifa ya uchaguzi NEC pamoja...
  6. S

    Je, kuna changamoto kwenye kupatikana kwa mtandao wa ardhi kwenye uhakiki wa hati za kidigitali?

    Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati. Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua? Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
  7. KJ07

    Zifahamu digital footprints (nyayo za kidigitali)

    Salaam wakuu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale katika hali ya kuhakikisha kinapatikana chochote kitu. Turudi kwenye mada, Umeshawahi kudukuliwa au kusikia mtu amedukuliwa kimtandao? Miongoni mwa sababu zinazoweza kuchangia kuhatarisha usalama wako wa kimtandao ni nyayo zako katika...
  8. Stephano Mgendanyi

    Hawa Mchafu aongoza mafunzo ya biashara kidigitali kupitia LHRC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Mkenge; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Mhe. Mohamed Usinga na...
  9. Sildenafil Citrate

    Programu Maalum za Kudhibiti vifaa vya Kidigitali vinavyotumiwa na Watoto

    Vifaa vya Kidigitali huweka Programu zinazowapa wazazi uwezo wa Kudhibiti Maudhui yasiyofaa, Muda wa utazamaji na kufuatilia mambo wanayofanya Watoto wawapo Mtandaoni ili kuwalinda Udhibiti huu unaweza pia kufanyika kupitia kampuni za Simu au tovuti anazotembelea mtoto kwa kuweka utaratibu...
  10. Nyendo

    Serikali msibaki kwenye mifumo ya kukusanya pesa kidigitali tu, kuna vitu vingine pia vinahitaji kufanyika kidigitali

    Nimehudhuria kliniki kwa ajili ya mwanangu kwa miaka miwili sasa sijawahi kukutana na elimu ya malezi ya aina yoyote ile kwenye hii kliniki, kinachofanyika ni kupima uzito mtoto au kuchomwa sindano ya chanjo kwa mtoto tena bila maelezo ya kwa nini mtoto apate chanjo wala umuhimu wake. Sote...
  11. Analogia Malenga

    TCRA yatoa onyo kwa waagizaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano ya simu ambavyo havijaidhinishwa

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya 2003, na kupewa jukumu Ia kusimamia Sekta ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta nchini Tanzania. TCRA imebaini kuwa yapo baadhi ya Makampuni au wafanyabiashara...
  12. Barackachess

    Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
  13. J

    Tanzania imepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali?

    Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake? Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali? Kuboresha Upatikanaji wa...
  14. Brightburn

    Ibu Digital: Natoa huduma zifuatazo kidijitali!

    Habari zenu waheshimiwa! Natangaza huduma zangu zifuatazo; NB: Sina ofisi, kwasasa natoa huduma kidijitali. Ila kwa waliopo DSM wanaweza kuonana na mimi (ikiwa watahitaji) Kimara Temboni maana ndio makazi yangu. Huduma zangu; Natengeneza PDF ya document yoyote, iwe kitabu, cheti, cv...
  15. The Sheriff

    Je, Unatambua Wajibu Wako Mtandaoni Kama Raia wa Kidigitali?

    Wajibu wa Raia wa Kidigitali inamaanisha uhusiano mzuri ulipo kati ya watu na mwingiliano wao mtandaoni. Hii ina maana kuwa nadhifu mtandaoni, kufanya matendo yanayofaa, na utayari wa kuwajibika kwa matendo binafsi mtandaoni. Wajibu huu unamaanisha maadili ambayo mtu anapaswa kuonesha...
  16. comte

    Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

    Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
  17. H

    Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

    Habarini! Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile Kuhifadhi taarifa za waumini Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
  18. The Sheriff

    Ni Muhimu kwa Kila Kampuni na Shirika Kuwa na Mkakati wa Kustahimili Changamoto za Teknolojia ya Digitali

    Tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali unaozidi kukua kwa kasi, lakini makampuni na mashirika mengi bado hayafahamu ni kwa kiwango gani yanategemea teknolojia ya digitali na changamoto ambazo wanaweza kukumbana nazo. Tunapoelekea katika siku zijazo ambazo tunazidi kuwa tegemezi kwa teknolojia...
  19. Pascal Mayalla

    Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Wanabodi, Makala ya leo ni Swali Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho. Je, kaya zote...
  20. beth

    Ujuzi wa kidigitali: Mfumo wa elimu unawaandaaje vijana?

    Vijana hivi sasa wanakua katika ulimwengu wa kidigitali ambapo Ujuzi na Uzoefu katika Masuala ya Digitali ni muhimu hususan katika Ajira Hata hivyo, Mafunzo katika Nchi mbalimbali za Uchumi wa Chini na Kati bado ni changamoto kwani idadi kubwa ya Shule bado hazina vifaa vya kufundishia...
Back
Top Bottom