kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idd Ninga

    SoC02 Ulimwengu wa Kidigitali, Nyuma ya pazi la Wizi wa Kimtandao na uuzaji wa DATA

    Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano, hii ni mbinu mpya ya kuwaibiwa watu kwa njia ya mtandao huku mwizi huyo akiwa amejificha nyuma ya...
  2. JanguKamaJangu

    Benki Kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali

    Benki kuu ya Uganda ipo kwenye harakati za kutafakari matumizi ya sarafu ya kidigitali Nchini humo, pia haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao ‘cryptocurrencies’. Benki kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali, na haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao “cryptocurrencies” lakini ina...
  3. The Sheriff

    Tunaishi Katika Zama Ambazo Ulinzi wa Kidigitali ni Hitaji Muhimu Sana kwa Kila Taasisi

    Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi. Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
  4. Roving Journalist

    Nape Nnauye: Wafanyakazi wa wizara mna dhamana ya kuipeleka Tanzania kidijitali

    Prisca Ulomi na Faraja Mpina, WHMHT, Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoiongoza kutambua kuwa wao ni sehemu ya kuipeleka Tanzania Kidijitali kwa kuwa wana wajibu, majukumu na dhamana ya kutekeleza sera, sheria...
  5. L

    China yatoa mchango mkubwa katika kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni sekta ya Tehama imekuwa na maendeleo makubwa katika nchi mbalimbali za Afrika, maendeleo ambayo si kama tu yamekuwa na manufaa kwenye mawasiliano, habari na utangazaji, bali pia yamekuwa na manufaa makubwa kwenye sekta za afya, elimu, biashara na...
  6. M

    Mfumo wa kidigitali wa usimamizi wa taarifa za kanisa

    Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mfumo rasmi wa usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo. Sasa nimetoa toleo la kwanza ambapo kwa kutumia hilo utaweza kufanya yafuatayo 1. Kusimamia taarifa za washirika/waumini 2...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

    Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama. Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili. Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.
  8. Kasomi

    Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

    Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa, mifumo ya AR/VR na teknolojia ya kutafsiri hisia za mwili na kuunganisha na vifaa vya kiteknolojia...
  9. Tuelimishanee

    Bei kubwa vifurushi vya data mwiba maendeleo ya kidigitali Tanzania

    📍 Wadau walia kila kona vifurushi kupanda maradufu tena kimya kimya 👉 Tasnia ya habari Mitandaoni, elimu, Dini, Burudani waathirika pakubwa Kutokana na kupanda maradufu kwa bei za vifurushi vya interneti nchini, huku GB 1 ya Data ikipatikana kwa zaidi ya dola 1.3 kumesababisha kupungua kwa...
  10. chizcom

    Katika vitu ambavyo nchi nyingi hazijakubali ni kupiga kura kwa mtindo wa kidigitali

    Tuanze kujiuliza kwa nini Digital election vote nchi nyingi zinaogopa ! Tutambue teknolojia kufikia kiwango cha kuhudumia mamilioni ya watu na bila kukosea landa itokee tatizo lilosababishwa na binadamu kama kudukua, kukata mawasiliano na n.k. Nchi nyingi bado zinatumia mfumo ambao kila mtu...
  11. Cathelin

    CCM tukubali kuwa Chadema wako mbele Sana kidigitali

    Wakuu chama chetu Cha CCM ndo kulikuwa chama Cha kwanza kuzindua Mambo ya CCM digital. Walikuja na App ya CCM kwenye play store, ili wanachama wajisajiri kidigitali. Ukweli CCM hatujafanya vizuri kwenye hili. Hata mitandaoni Mfano Tweeter, JF ni kama Chadema wameiweka hiyo Mitandao mfukoni...
  12. L

    China haitakiwi kulaumiwa kwa kusaidia nchi za Afrika kuwachunguza watu wake kupitia ushirikiano wa kidigitali

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni bara la Afrika limekuwa na maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na mambo ya kidigitali kwa ujumla, na sekta hii inatajwa kuwa ni moja ya sekta zenye maendeleo ya kasi zaidi katika nchi za Afrika, na kuwa...
  13. R

    SoC01 Kijana na dunia ya uchumi wa kidigitali, teknolojia na utandawazi

    1. UTANGULIZI; Habarini zenu wadau wote wa jamii forums, vijana wenzangu, waandaaji na wafuatiliaji wa jukwaa hili la “story of change”, Makala hii fupi ni kwa lengo la kuelimishana na kufundishana hasa vijana wenzangu Walioko katika jukwaa hili la jamii forums (story of...
  14. Mwenda zake

    Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (ukoloni mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  15. Analogia Malenga

    Benki ya Dunia kuipa Tanzania Tsh. Bilion 348.9 kusaidia mabadiliko ya kidigitali

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Benki ya Dunia inatarajia kutoa dola milioni 150 sawa na takribani Tsh. Bilioni 384.9. Fedha hizo zinatolewa kwa ajili ya kusaidia mabadiliko ya kidigitali nchini. Waziri amesema fedha hizo zitaboresha...
Back
Top Bottom