Habari zenu waheshimiwa! Natangaza huduma zangu zifuatazo;
NB: Sina ofisi, kwasasa natoa huduma kidijitali. Ila kwa waliopo DSM wanaweza kuonana na mimi (ikiwa watahitaji) Kimara Temboni maana ndio makazi yangu.
Huduma zangu;
Natengeneza PDF ya document yoyote, iwe kitabu, cheti, cv...