kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

    Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?. Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
  2. S

    TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

    Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
  3. Magical power

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi😂😂
  4. M

    Usipuuze Historia yake wengine bado wako vile vile bali, ni changamoto tu ndio zimefanya wapoe kidogo

    Usifanye kosa la kupuuza historia yake kwa muonekano wake mpya wa leo, wengine ni maji tu yaliyopoa yamerudi ubaridi ila kwenye moto yatarudia hali yake ya umoto. Usijifanye kipofu kupuuza historia yake bali hakikisha kuwa unajua kipi kilikuwa nyuma ya historia yake hiyo na je kuna namna ya...
  5. G

    "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  6. T

    INAUZWA American fridge, good condition inatumia umeme kidogo bei 1.6m

  7. Down To Earth

    Leo nimejaribu kusoma Biblia japo kidogo tu ila nahisi kuchanganyikiwa

    Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14. Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua. Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
  8. M

    Mchokoze kidogo mpaka akasirike ili ujue hekima yake ikoje

    MCHOKOZE KIDOGO MPAKA AKASIRIKE ILI UJUE HEKIMA YAKE IKOJE 😊 Moja ya mbinu nzuri ya ki intelejensia ya kuijua hekima ya mtu ni kumchokoza makusudi mpaka akasirike 😊 Usiogope maamuzi yake yatakuaje ila fanya hivyo ili kumjua yeye ni wa namna gani. ILI KUTUMIA MBINU HII HAKIKISHA YAFUATAYO ILI...
  9. Equation x

    Principle: Fanya kitu kidogo kwa ukubwa

    Kama una biashara ndogo, na ukaifanya kwa ukubwa itakulipa. Kama una biashara ya kuchoma na kuuza mahindi, unatakiwa uongeze ukubwa kwa kuongeza kijiwe kingine na si kukiboresha kile cha mwanzo. Kama ulikuwa na bucha, hakuna haja ya kuiboresha ile bucha,bali fungua nyingine uendelee kuuza n.k...
  10. goodhearted

    Kujihisi kushiba muda wote baada ya kula kidogo

    Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
  11. THE FIRST BORN

    Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  12. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  13. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  14. M

    Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  15. Yoda

    Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  16. MSAGA SUMU

    Wakimbizi wa Kiarabu ni tofauti kidogo na hawa wa Congo

    Hawa wakimbizi wa Kiarabu pande za Lebanon na Gaza ni tofauti kidogo na hawa wa kwetu huku Congo. Hawa waarabu wanaonekana kila siku wanaoga, nguo safi na wanaonekana wanakula kila siku. Wakimbizi wa Congo malnutrition inaonekana hata ukiwa km 10, watoto wazee wote wamekonda kabisa. Maji ya...
  17. R

    Tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo

    Wana-jamii wenzangu mimi nina tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo, ama kwenye korido ndefu isiokuwa na uingizaji wa hewa fresh kutoka nje. Aidha, nikipanda lift mara mlango unapofungwa hupata tabu sana ya kupumua, mara kadhaa hushindwa kuendelea na safari yangu ya floor ninayokwenda. Aidha...
  18. Elsa Marie

    LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

    HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa. Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha...
  19. papag

    Cheka kidogo ila inafundisha

    😳Sai kuna mtu bol ishaingia💦,,kuna mwingine sai ndio inaingia mig'uu ziko juu kama bendera ya Somalia🤣kuna mwingine anacome nakuambia anatetemeka mapa'ja kama earthquake za Turkey sasa ako zile za beb ziko mot'oo🔥💦😋☹💔,, Kuna mwingine ndio wanaanza rom'ance sasa anahema kama bata kiwete sasa bed...
  20. U

    Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
Back
Top Bottom