kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. Kutoa kwenye ATM kwango cha laki nne kwa mkupuo mmoja ni kidogo sana, nashauri waongeze

    Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja. Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
  2. Ebu tuwachanganye Gen Z kidogo

    Time is never your friend.
  3. KWELI Kupwa na kujaa kwa maji ya maziwa na mabwawa ni kidogo sana ukilinganisha na baharini

    kwanini maji ya mabwawa na maziwa kupwa na kujaa kwake hakuonekani kama ilivyo baharini?
  4. Hadithi ya Maprofesa ndani ya ndege

    Stori kidogo Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna...
  5. Hakujawahi kuwepo taifa la Palestine. Pata crush course kidogo

    1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina. 2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina. 3. Kabla ya Ufalme wa Ottoman, kulikuwa na dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, sio taifa la Palestina. 4. Kabla ya dola...
  6. Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  7. Pre GE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

    Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela... Infact...
  8. N

    Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa. Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni...
  9. CRDB wanazingua mno, inakuwaje wanachelewesha kumpatia mtu mkopo licha ya kukamilisha kila kitu.

    Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu. Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei, Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
  10. Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
  11. Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  12. Nahitaji ufafanuzi wa hili jambo nitaelezea kidogo ufahamu wangu

    Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi. 1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote. 2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na...
  13. Hali ya madungu jeshi barabarani kwa sasa ikoje? Quick review kidogo

    Wadau nimekaa kwenye foleni barabarani nikitafakari ni vipi ile kasi ya ununuaji wa madungu jeshi (DISCOVERY3,4) ilivyokuwa mwaka jana kipindi kama hiki na mwaka huu ikoje? Mimi naona haya madungu watu wengi yamewashinda hayana tena attraction ile kama ya mwaka jana na kabla yake. Ishu...
  14. Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    EPL | Man united 0-0 Fulham Fc Ila bruno 😄
  15. Ngoja nikuibie codes za biashara kidogo

    Nilikua sijui na nikawa nadharau sana, ila Facebook Ina wateja utawachoka wenyewe, Kuna magroup ya biashara kujiunga bure unakuta Kila group lina 200k members asikudanganye mtu utafanya biashara mpaka utachoka Kama unauza used machinery and tools, hasa heavy duty, Arusha should be your number...
  16. Garama ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko

    Habarini Wakuu. Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection' Faida yake ,mashine zinazohitajika na mambo mengine mengine yote. . Asante.
  17. Hatuwatendei haki wakulima hata kidogo

  18. R

    Naomba msaada kuhusu uwekezaji wangu katika mfuko wa Ukwasi wa UTT

    Nimewekeza jana kwenye mfuko wa ukwasi ( liquid fund) nimeweka milion 7 hasa leo nimeangalia salio hapa inanionesha hivi naombeni msaada kwa wazoefu. Mimi nilikuwa nafikiri nitaikuta hela yangu yote na maongezeko kidogo, naombeni msaada wa elimu kidogo kwa wazoefu mbona haioneshi hela yangu...
  19. Shemeji tumesikia ombi lako kwa sasa tuvumilie kidogo baki hukohuko....

    KIBOKO YA WACHAWI KUNA UJUMBE WAKO KUTOKA KWA MASHEMEJI ZAKO. Anaandika Samwel Lwiza "Shemeji Tumelisikia ombi lako lakini kwa sasa tunaomba utuvumilie kwasababu sisi kama mashemeji zako tumechukia kuzuiliwa kuvimba nyumbani kwetu katika nchi yetu( ukweni kwako) ... Pamoja na hayo huku kwetu...
  20. Labda unahitaji kuongeza ujasiri kidogo tu ili upande viwango vya juu zaidi!

    Sina uhakika kama Kikwete alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mwinyi alipomteua kuwa Mbunge na Waziri, alimfuata na kumwomba amwondolee uwaziri amwachie ubunge. Badala ya Mwinyi kulipokea ombi lake, alimtia moyo kwamba yeye ni kijana mwenye akili hivyo ataimudu hiyo nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…