The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.
Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000.
Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka kwenye makato nikakatwa 410 Sasa nilikua nataka kujua hizi ni aina gani ya laini na utaratibu wa...
1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot.
2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania 110,500,000/= (millioni mia moja na kumi na laki tano)!
Soma zaidi hapa chini ili kujua imetengenezwa...
Kwa siku mwili wa binadamu unatengeneza kiasi cha asidi kati ya lita 1 hadi 1.5. Yaani ile asidi ya kujaa kopo kubwa la maji la lita 1.5! Asidi hiyo ni nyingi na kali sana. Ukali wake unafika PH ya 1.5. Manyama, matobolwa, samaki, minyofoo, pweza, vyakula vyote vigumu na laini husagwa na asidi...
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.
Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana?Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma?
Miaka ya leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo?
Sasa tuje kwa...
Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa.
Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
Au labda "hofu" is too strong a word?
Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia na kutoka kule.
Sasa tunaona Makonda yuko Maswa,lakini huko si ndiko alikoenda miezi michache...
Wataalam,
Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti...
Wapenzi na wafatiliaji wa movies nina swali kuhusu hii movie ya money heist/ La casa de papel, toka ilipoishia season 5 netflix walisema hakuta kuwa na seoson lakini baadae wakaja kusema kuwa kutakuwa na movie itakayoonyesha matukio ya Pedro Alonso or Berlin kabla ya tukio la money heist ya...
Seriikali ni taasisi moja ya sifa ya Taasisi huongozwa kwa mfumo Rasmi (bureucracy} baadhi ya sifa au kiini cha BUREUCRACY ni sheria na kanuni, kuajiri kwa kufata sifa na kuwepo kwa mfumo wa vyeo{hierarchical system} sifa hizi zinaipa taasisi nguvu ya kutokuwa na mfumo wa mazoea ambao ni...
Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:-
1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya...
Tunatambua uwezo wa binadamu katika kujumuika na kuendesha mambo mengine ya kidunia, uongoni ni busara ya kushawishia kupitia maamuzi kwa ajili ya wengine.bahati mbaya iliyoje viongozi wa afrika hawana sifa ya uongozi (influence) bali wamepata authority (mamlaka) na power (nguvu) ya kutuendesha...
Kitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.