kifo cha mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Utata mkubwa wazunguka KIFO Cha Mtoto wa JB MPIANA Oceane aliefariki kwa ajali

    Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha Binti yake Océane kutokana na ajali ya gari. Océane alikua na mazoea yakwenda mara kwa mara...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, kwa kuwa mtoto wa Neema ndio aliyekufa, Uchunguzi sasa uhamie kwenye sababu za kifo cha mtoto, kikao cha MPDSR kije na majibu sahihi!

    Wizara ya Afya maazimio yenu ya mwanzo 1-Kupimisha DNA 2-Kumsimamisha kazi Nurse alochanganga Vitenge. Haya yote yalilenga Suala la Mama kubadilishiwa mtoto. Sasa moto ndio aliyekufa !! Sasa swali ni je, ni changamoto gani hiyo ambayo ilipelekea mtoto Kufariki ?. Turudi nyuma, Mama wa...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

    Kuanza nianze kwa kuwashukuru wana Jamii Forums mlio nitafuta PM kwa kunipa pole katika msiba ule mzito. Nawashukuru pia wale mlio kuja PM kunikebehi yakuwa nilikuwa nawasinzigizia nilio wataja kwa kuwahusisha na Mauaji ya mtoto wangu. Ilianzia hapa: Mh. Rais, Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi...
Back
Top Bottom