Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili.
Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
Kifo Cha Mpira wa Pogba kinachodhaminiwa na nduguze kikaribu kuja.
Kipindi wewe unapambana Hadi kuroga upate pesa wenzako wanatamani kuzikosa maana zinawaletea shida na matatizo kila uchao.
Ndugu wamekuwa sababu ya Labile Paul Pogba kutamani kuwa masikini na asijuane na pesa.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao.
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video.
Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U.
Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa...
Na DaVinci XV
Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja.
Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi.
Anasema siku hiyo mwanzoni mwa mwezi Agosti iliyopita ghafla alijikuta yupo katika ya mashambulizi ya...
Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele.
Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani.
Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo.
Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9.
Raisi Putin amesema alimfahamu Prigozhin kwa tangu miaka ya 90 na kwamba kiongozi huyo wa Kundi la askari wa kukodi...
Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake.
Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba...
Habari zenu wanaJF wenzangu?
Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza.
Msemo huu kwa wale vichwa nazi mnaweza kuuchukulia poa, lkn kiuhalisia una...
Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
Muuguzi Amos Masibuka (35), amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kujifanya daktari kwa kumfanyia upasuaji Lukwaja Selemani (78) na kumsababishia kifo.
Licha ya kwamba alikuwa hana sifa za kuwa daktari, muuguzi huyo maarufu kwa jina la Dk Amos, alikuwa akitoa huduma...
HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI
SEHEMU YA KWANZA
Mtunzi: More
Mawasiliano: 0756320219
Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila mara nilikuwa nikijaribu kubashiri matokeo ya safari yangu lakini sikuona yaliyo bora mbele yangu...
Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu.
Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha.
Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku 40 kabla ya kufa kwake.
Nafsi zetu ipo siku zitalipwa adhabu ya udhalili kwa sababu zilikuwa...
Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni.
Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa itakuwa kifungo cha maisha gerezani.
Mara ya mwisho Ghana kutekeleza hukumu hiyo ilikuwa Mwaka 1993...
Kuna kisa nimekisikia Leo,
Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years
Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua
So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua...
Huko Kilimanjaro Mwalimu amempiga mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka saba mpaka kifo kwa kosa la kupiga kelele darasan 🥲
Kwenye picha huyo ni Mama yake Mzazi wa huyo mwanafunzi ameeleza kwamba Mwalimu
Alimpiga sana mwanafunzi huyo mpaka alijikojolea baada ya hali kuwa mbaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.