Salamu kwenu jukwaa!
Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na...
Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu!
Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia.
Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja...
Dar es Salaam. Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia...
Wakuu GT.. nawasalimia sana.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
1. Utangulizi
Hapana shaka kuwa kiwango cha maendeleo ya nchi au bara hutegemea ubora wa raslimali watu katika nchi/bara husika. Ubora huu wa raslimali watu ndo hutofautisha nchi na nchi, bara na bara katika maendeleo ya kiuchumi...
Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
1. Mungu kaamua ugomvi
2. Watu wazuri hawafi
3. Keshaanza kuoza.
Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa.
Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela.
Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima
Mpo mliotengeneza kikundi cha...
Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe.
Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake...
Wanabodi,
JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, kwenye makaburi ya familia ya Malecela pale Mvumi Mission, Dodoma.
Kuna mengi...
Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma.
Nani amesahau Salva Rweyemamu...
Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu.
Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
Nikiwa kijiji kwangu huku njilinji nikiendelea na shughuli za kilimo nimeshtushwa na taarifa ya kifo cha Mh. Benard Membe (kachero mbobezi) natuma salamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki. Poleni sana kwa huu msiba mzito.
Kutokana muunganiko wa code mbalimbali nachelea kusema mambo kadhaa...
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe, Prof.Harun Nyagori, ameongelea kifo cha Membe kilichotokea leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam ambapo amesema Membe amefariki kifo cha kawaida na kuwataka Watu...
Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba.
Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka.
Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
afariki dunia
amekufa
bernard membe
buriani
hospitali
jasusi
kamanda
kifo
kitabu
mambo ya nje
maombolezo
marehemu
mazishi
mbowe
membe
mkubwa
musiba
nyumbani
picha
Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama...
Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
Picha: Nusura Abdala enzi za uhai wake
Vumbi la kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah bado linazidi kutimka baada ya ndugu kutilia mashaka uharaka wa mazishi yake huku baba mkubwa wa marehemu akija na maswali matano.
Wakati umma ukiendelea kupaza sauti ukitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.