Katika kipindi cha karibu wiki mbili, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeona katika vyombo vya habari taarifa ya ajali ya gari iliyomhusu Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange iliyotokea katika Jiji la Dodoma na...
UDOM ni chuo kichanga kilichojaa vituko vya maadili mabovu. Maadili mabovu kwa waalimu na watumishi wengine hadi kufikia VC na DVC wake kuwa ni watu wa hovyo hovyo tu! Kumefanyika mabadiliko ya uongozi na huyu anayeitwa Kusiluka ndo VC wa chuo aliyeletwa ili chuo kibadilike. Ni wazi sasa VC mpya...
Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!
Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics!
Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG, na katuweka huku.
Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?
Okay, kimechunguzwa...
Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura.
Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya.
Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872.
Asante.
Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT).
Leo nimeona kushare na nyie story yangu hii ya kweli ambayo nahisi itakusaidia kupata...
Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe.
Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma.
Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana.
UPDATE
Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya....
Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu.
Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki...
Watoto wawili wa Familia ya Tandula Ngasa, katika Kijiji Cha Mwakiloba Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamepoteza maisha na wengine saba kunusurika kifo baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu.
Akiwa kwenye mkutano wa Jukwa la tatu la Ushirika Mkoa wa Simiyu ambapo alikuwa mgeni rasmi, Mkuu...
Hello JF,
Hivi asili ya watu wanaomriwa kuuwa au kunyongwa baada ya kukutwa na makosa ya yanauoadhibiwa na nguzo za kidini je, wapo wa Royal family au ndio wale makabwela wale wenye African origin? Mwenye history ya hukumu hizo aweke bayana kama hizo Adhabu hazikuwa kwa wenye asili ya Africa...
Wakuu Habari.
Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.
Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
Naseeb Abdul Jumah.... a.k.a Diamond Platnumz ni icon Tanzania kipengere cha Muzik, Ni kijana ambaye anatakiwa angaliwe na serikali kwa upana maana hata serikali yenyew imeblooh anajiongeze sio utani.
Mbali na kumiliki anavyovimiliki chibu dangote yuko na team sahihi kabisa isikuwa na mchezo...
Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila...
Wakuu Sallam
Siku chache zilizo pita Kuna mdau iliweka thread humu JF aliuliza kumbe ukitoka kwenye uislamu unahukumiwa kifo,mada ambayo imezua mjadala mkubwa sana wachangiaji wengi wameonekana wakitoa maoni hasi juu ya uislamu kupita mada hio, wengi wanaizungumzia vibaya uislamu kuwa dini ya...
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production.
Steven kanumba baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.