Inauma sana.
Hebu piga picha ,
Wewe ndo umetongoza,
Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha,
Wewe ndo umetoa mahari,
Wewe ndo unaanda sherehe,
Mke unamkaribisha nyumbani kwako,
Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii,
Wewe ndo unamuhudumia mkeo,
Kitandani mnafurahi wote,
Mnapata...